Watu aina yako mimi ninawashangaa kabisa, ungemkataa wewe ama kwenu wangemkataa, mbona nashidwa kukupata hapa. Maana ninacojua hapa wanaooana ni mke na mme ambao wamependana na kukubaliana wenyewe pasipo kulazimishwa na mtu yeyeto, sasa unaposema kwenu wasingekubali napata shida, inakuwa as if wao ndio wanaolewa.
Kama na wewe dada unaamini hivyo, basi hata wewe ni mkabila, hilo usipinge kabisa. Ila mnachotakiwa kufanya ni kufahamiana mapema, mwenzangu unatokea wapi (say ukanda, mkoa nk), kabila lako nk, then ukiona wewe ni mkabila basi unamkataa mapema katika hatua za awali ili kuepuka hizi sintofahamu za kwamba kwetu watamkataa nk, as if wao ndio waoaji ama waolewaji.
Wazazi nao wabadilike wawape vijana uhuru wa kijichagulia wenza wa maisha yao wenyewe. sasa kama huyo binti sasa anayezungumziwa kwenye thread hii ikitokea kwao wasibadili msimamo naye akawawafuta ana kazi nyingine tena ya kuingia sokoni ili aweze kupatwa na mwingine ili hali alishajua hiyo kazi imekwisha, wanampoteza muda na kumpa stress bure. Alikwisha mzoea mwenzake, walishaenda hadi kwao Tarime, this means wanaishi kama mme na mke, then mnawatenganisha, what for, mnatengeneza nyumba ndogo unnecessarily maana hao hawawezi kuacha kushare mapenzi hata wasipoana.
hahaaaa aisee ni noumaaa... muda huu nipo hapa shirati napata ugali nyamachoma na kichuri.... nilielekea Tarime
Ndg yangu Molembe
Nadhani wewe na huyo mchumba wako ndio hamjaamua juu ya ndoa yenu hiyo. Hayo mambo ya wazazi kuzuia ndoa za vijana wao yamepitwa na wakati, wanachotakiwa kufanya ni kutoa baraka tu ili ninyi muanze maisha yenu rasmi kama mke na mume.
Nimeona ushauri wa dada charminglady kuwa achana naye ukaoe nyumbani, akitaja na vijiji vingi tu vya kule tarime, mimi nasema hapana, kwa nini swala la mke wa kuishi naye maisha yote ya uhai hapa duniani ni swala mtambuka, kumbe basi unahitaji kuzingatia hitaji la moyo wako kwanza. Sikatai kuoa nyumbani kuna faida zake nyingi, lakini inakuwa vema zaidi kama ulikwisha fanya maandalizi ya kumpata mwenza wako katika mazingira unayotoka.
Fanya uamuzi sahihi kwa kumshirikisha mwenza wako, ili muweze kufikia uamuzi sahihi pasipo kuasili upande wowote.
Mwisho niwapongeze Luck Star na dada Binti.com kwa njisi thread hii ilivyowaunganisha na kutambuana/kutambulika na pia kwa jinsi wanavyoweza kuandika lugha ya nyumbani vema, tazama neno umshabhani (jina la utani, akimanisha kijana mdogo), ntohashere nk,
Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Anghane ngayo, hayo ngambele ntanoye
Aje na huku wilaya ya Serengeti kuna warembo wazuri tu, anzia Mgeta, Kyandege, Salama A, Salama B,Isenye, Natta, Fort Ikoma, Nyakitono, Nyichoka, Burunga mpaka Mugumu mjini wamejaa warembo aache kuhangaika na hao wabaguzi

Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Aghane ngayo, hayo ngambele ntanoye
hahaa!! aisee umetumia neon ki-social sana! as if you are a fellow man!! is it easy for a woman to tell a man such words?? or its a joke? eti Molembe, hebu niambie tata! eni ghutete mbane mpaka neghi kemwe ngoleme!Mwambie bana.... Aache kubembeleza!
Et kisa mnyalu.. Khaaaaa!!!!
Molembe tatigha mura, kuwa na ule ujasiri uliouonesha siku ya Saro yako!
Hahahaaaaaa... Kwani kuyatamka kwa ufasaha ndio kuzaliwa huko???
Hivi ni.vijiji vilivyopo mkoani Lindi Mkwajuni, Likongo, Likwaya,
Madingo, Muungano, Mandwanga,
Njonjo, Mtegu, Namunda na
Nandambi sasa napo utasema mie ni Mmakonde????
nahisi bado hujanielewa,nimeongelea upande wa wazazi wangu pia wasinge kubali sijaongelea mimi kumkataa mkurya lakin nimejarib kurelate kama ningekuwa huyo dada na kumpeleka kijana kwetu yangetokea ayo ayo,main point nataka kusema kuna familia nyingi zingefanya maamuzi kama ya familia ya huyo dada,lakini bado mimi ninayeolewa i have a final say,hapa nilipo nadate mkurya kama ikifika stage ya ndoa najua wazaz watapinga lakin mie ndo nimemridhia hope umenielewa sasa
Mkuu unajua kwanini nimetoa ushauri kama huo??? Hapo hakuna kubembeleza as sio nature mkuu.......
for sure you said somethings which are real!!!! nice and true, congratulatulation for that buddy!! iye nomongoleme woni ghasi omokoli? kana ake ndara ulaghamba kyomonto waka kemwe! eni mbane nomongoleme neni!
kweli wakurya mtakuwa mnamatatizo hata mie nmepata demu wa kikurya... Nyumbani nae hawamtaki