jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Wakuu, kuna wakati nimegunduwa kuwa mwalimu anaheshimika nje ya nchi kulko ndani kama ilivyo kwa "manabii" wengi...
Hivi hii kwanzaa celebration mbona kama ideas za mwalimu?
Ama mwalimu ndo alikopi kutoka kwao?
http://www.google.com/url?sa=t&rct=...h5ycBQ&usg=AFQjCNFdtgoLppnN8Cc-7D8FMqUzL72f8g
Hivi hii kwanzaa celebration mbona kama ideas za mwalimu?
Ama mwalimu ndo alikopi kutoka kwao?
http://www.google.com/url?sa=t&rct=...h5ycBQ&usg=AFQjCNFdtgoLppnN8Cc-7D8FMqUzL72f8g