..... ni mchezaji wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani Dwight Howard. Alianzia ziara yake mjini Monduli kwa Mbunge Lowasa kabla ya kuelekea Ikulu kumsalimia Rais wa nchi J.K.
unaweza kukuta vasco da gama kajipendekeza akasalimiwe mjengoni... haiingii kichwani kabisa,dwight howard kwenda ikulu baada ya kutoka monduli! alikuja kwa madhumuni gani,90m tu? henry the navigator kajipendekeza bhana aaaaargh,hadi inaboa yani...