GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,911
- Thread starter
-
- #21
Hivi mkuu "Gitaa la kidali kimoko" Inamaana gani?
Na wale wasiovaa hata hiyo sarawili kama wamasai itakuwaje?
Haya ndio majibu ya mjenzi wa hoja zinazokubalika na kupendwa?Kwakuwa ID yako tu inasema " Kizibo " nadhani sasa ni muda muafaka " ukazibuliwe ".
Haya ndio majibu ya mjenzi wa hoja zinazokubalika na kupendwa?
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hebu fafanua huo msemo kwanza...Vipi Mkuu umeshaanza " kulikung'uta " nini hilo Solo gitaa la " Dalikike? "
Hebu fafanua huo msemo kwanza ...Vipi Mkuu umeshaanza " kulikung'uta " nini hilo Solo gitaa la " Dalikike? "
Sijui linamaana ganiAlisema mwenyewe kwamba yule msanii wa komed orijino anapiga gitaa la dalii kimoko
Hebu fafanua huo msemo kwanza ...
Hebu acha kuzuga,,,, fafanua kwanza huo msemoIngia kwa ile ID yako tuliyoizoea na inayojulikana humu JF na hapo ndipo nitakujibu utakavyo. Halafu acheni kutumia multiple ID's humu kwani ni dalili kuwa hamjiamini na hampo imara. Lini umeona Mimi naingia na ID nyingine humu JF zaidi ya hii?
Hivi kwanini ukiulizwa A unajibu B?Kijana nimeshaacha kuwazibua Watu wa aina yako muda mrefu mno na sasa nimeokoka hivyo nakusihi tu tembelea sana pande za Tanga kule Raskazoni au nenda Bagamoyo na ukiona huko kote hakukutoshi " kuzibuka " funga safari Mombasa au Lamu na kama huko nako utaona wanakuzingua safiri tu pande za Italia na Ugiriki haja yako itamalizwa yote. Unless labda kuna kingine unakitafuta kutoka kwangu na ambacho vile vile usipoangalia utakipata tu muda si punde!
Usipovaa chupi au boksa hata kama umevaa suruali au pensi au bukta kwa kawaida uume unakuwa umekasirika na una simama sana na hulala tu baada ya juhudi kubwa na kuhangaika nao mno?
Kuna siri gani kubwa ya kitaalam na kibaiolojia iliyojificha hapa?
Nitashukuru wajuvi, wataalam na wamiliki wa hii " minara " yetu " myeusi " mkijitokeza kulijibu hili ili nasi wengine tupate kuelimika.
Hivi kwanini ukiulizwa A unajibu B?Ujanja wote kumbe unatumia Simu ya TECNO-Y6?