GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,916
Popoma...... Nimekumbuka hili neno gafla sijui kwanini
Mungu wangu hivi sifa ni kujisifia au ni kusifiwa? Ukishaona mtu anajipa sifa asiyostahili basi hilo ni tatizo tayariNdiyo ujue kuwa my influence and convincing power ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba nikianzisha jambo au kitu fulani kinakuwa, kukubalika / kupokelewa na kinatumika. Ni zawadi au uwezo ambao Mwenyezi Mungu hugawa tu kwa wachache " aliotubariki ".
Hivi mkuu "Gitaa la kidali kimoko" Inamaana gani?Ndiyo ujue kuwa my influence and convincing power ni ya hali ya juu sana kiasi kwamba nikianzisha jambo au kitu fulani kinakuwa, kukubalika / kupokelewa na kinatumika. Ni zawadi au uwezo ambao Mwenyezi Mungu hugawa tu kwa wachache " aliotubariki ".
Alisema mwenyewe kwamba yule msanii wa komed orijino anapiga gitaa la dalii kimokoHivi mkuu "Gitaa la kidali kimoko" Inamaana gani?
Inategemea ntu na ntu
Mungu wangu hivi sifa ni kujisifia au ni kusifiwa? Ukishaona mtu anajipa sifa asiyostahili basi hilo ni tatizo tayari