Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

ACT mpaka sasa ndio chama kikuu cha upinzani kwa sababu kinapambana na maccm na saccos ya wachaga
 

Sisi ndiyo wananchi wenyewe na ndiyo tunaomuhukumu msaliti huyu
 
Hii ni ACT - Wazalendo au ACT - Wasaliti.

Haitachukua muda wataanza kusalitiana wao kwa wao. Hii dhambi ni lazima itawafuata popote waendapo.
 

Acha upu..nguani wewe. ni viongozi gani au msemaji gani wa chadema aliyemchafua Zitto?!!! au ndio mnamtafutia promo kiaina maana naona hata CCM nao wameshamsahau kama chadema walivyompotezea.tafuta mbinu mbadala mkuu sio lazima kutumia mbinu zile zile kila siku
 
Inawezekana ulitazama TBC na ulisoma uhuru, zito kabwe hakuwahi kujibu tuhuma hizi ninazozidai humu. Kama unaushahidi weka hapa nikufuate unipe kadi ya Against Chadema Tanzania

Weka wewe ili niwe na msingi wa kujibu hoja Zako,unafikiri mi na respond kwa hoja hewa,niko makini.
 

Tofautisha kumchafua mtu na kuelezea uchafu wake.

Ni sawa ni choo kwa nje imepakwa rangi lakini ndani kuna uchafu, sasa kuna watu wanaweza wasijue kuwa kile ni choo na ndani yake kuna uchafu mpaka uueleze huo uchafu ni wa aina gani. Vinginevyo wanaweza kudhani ni nyumba ya kulala.
 
1.Kwani ukibishana kwa hoja bila matusi siku haiishi vizuri
2.You are weak-minded,kawaida strong-minded people huwa hawaombei washindani wao wafe bali huomba Mungu awape nguvu za kupambana na washindani wao.

Mchafu ni mchafu tu, zitto ni mtu mchafu, mwenye tamaa, mchonganishi na mbinafsi, hana sifa na uadilifu za kiuongozi

If it was a weak-minded point jus brush it out it wont cost you a thing... kima we!!
 

---- weww
 
zitto ana akili kuliko uongozi mzima wa chadema makao makuu
 
Hii ni ACT - Wazalendo au ACT - Wasaliti.

Haitachukua muda wataanza kusalitiana wao kwa wao. Hii dhambi ni lazima itawafuata popote waendapo.
hizo ni tabia za machagadema
 

Mwambie dk slaa akujibu kwanza kwa nini aliusalt upadri?
Hivi bado dk ana mchumbe mke wa mtu au siku hizi ameoa?
 

Kama wapi field nashukuru
 

Hivi dj mbowe alisoma chuo kikuu kipi? Naomba kujuzwa wadungu
 
Zitto hafai kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Ni msaliti, mroho wa madaraka na ni fisadi
 
Chama hiki husikii, uvumi wao kuwa labda "Olesendeka na filikunjombe wahamia ACT" au "jenister mhagama na kibajaji mbioni kutimkia ACT" wao habari zao ni kama kwenye uzi mmoja humu eti Nassari na Lema kuhamia ACT june. Wao wanachotamani ni usaliti tu. Mi nilidhani watamani wabunge wengi wa ccm waamke na wajiunge na ukombozi eti wanatamani wabunge wa upinzani. What kind of party is this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…