Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Bado nasubiria mtu aliye makini ajiunge na hiki chama/zzk maana wote waliojiunga naye hadi sasa hutakiwi kuwa na elimu ya Std VII kujua kuwa ni maopportunists chipukizi tofauti na yeye opportunist aliyekubuhu!
 
Zitto aeleza alivyoshiriki kuanzisha ACT magazetini leo, hakika chadema ilikuwa sahihi kumfukuza huyu zitto na wenzake kitila na mwigamba wana ndimi mbili kama nyoka
 
Zinachukuliwa kama njugu karibu ndugu usikilize ya wakosaji,Chadema hawana akili kabisa ndomana huwa nasema ccm bado itaendelea kitawala nchi hii saaanaaa,mfano ni huu et cdm wanamuona Zitto ni adui kuliko ccm!Wanatumia muda mwingi kumchafua Zitto kuliko kujiimarisha dhid ya ccm!Kama sio Ukawa mida hii cdm hata kwenye vyombo vya habari tusingeiona.Karibu Act wazalendo.

hovyo kabisa
 
Kwa niliyoyanona tangu Zitto kuhama chama. kuhojiwa na EATV akakiri kuanzisha ACT na pia wanavyovumisha habari pale wanapovuna wanachama kutoka CDM nina hakika pasi na shaka kuwa Zitto hafai kuwa kiongozi anaweza kuuza nchi kwa maslahi yake binafsi kama mafisi wa CCM wanavyofanya...sasa hivi ACT wanachoshangilia ni kuvuna wanachama from CDM which is killing opposition in our country... Itachukua muda hadi watu wagundue hili hasa pale uchaguzi wa mwaka huu utakapoisha and only by then it will be too late....

na huo ndio mpango wao, kuiua chadema katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
Ili kujua kuwa mleta mada ana hoja je haya anayoaongelea kuhusu Zitto kweli si kweli?
 
sijawahi kuona mtu anaongea pumba kama wewe sijawahi.
Sijawahi kuona watu wanapata taabu hawalali wanatafuta umbea juu ya maisha ya mtu ambayo hayakuhusu hata kidogo sijawahii..

Sijawahi kuona mtu aliyetoka chama kimoja kwenda kingine akaendelea kusakamwa kama zzk bila sababu za msingi kwani hamuathiri mtu na itikadi zake na hawalazishi kumfuata kwa itikadi.
Hata kama zitto ni msaliti kwa chadema haiwahusu wala kuwaathiri kwani hayupo chadema sasa.

Kila siku zitto zitto zitto hamna cha kufanya wangapi wametoka vyama vyao na kujiunga na vyama vingine hawajadiliwi ...

Stop non sense bwana Amekuathirije yeye kuwa msaliti na je anahusikaje na maisha yako baada ya kusaliti chadema

Wewe ni mjinga sa unamuhuliza hameathilika vipi katika maisha uwezi kujua huyo jamaa ni mpenda Watanzania masikini wanaopenda kuendelea zitto haliaminiwa na wanyonge kama huyo jamaa sasa zitto kamsaliti kwa nini?wewe ni msaliti Wa wanyonge na adhabu yako ni kutembea uchi.Act ccm.


swissme
 
-

- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi.
Yaani ni kweli kabisa, watanzania tumebakia midomo wazi kwa udumilakuwili wa huyu jamaa!, Yaani anajiunga kwenye chama siku ya tano anapewa UKUU wa chama!, Watanzania amkeni, kuweni makini na wanasiasa kama hawa ni HATARI.
 
Wewe ni mjinga sa unamuhuliza hameathilika vipi katika maisha uwezi kujua huyo jamaa ni mpenda Watanzania masikini wanaopenda kuendelea zitto haliaminiwa na wanyonge kama huyo jamaa sasa zitto kamsaliti kwa nini?wewe ni msaliti Wa wanyonge na adhabu yako ni kutembea uchi.Act ccm.


swissme

Mkuu swissme watu wengine humu bado wana dozi ya ugonjwa wa akili kwa hiyo kuwajibu ni dhihaka kwako brother, achana nao walishaamua kujiondoa akili
 

Attachments

  • 1428561800161.jpg
    1428561800161.jpg
    22.8 KB · Views: 422
jitahidi kusoma na kuelewa kwanza kabla hujapost utumbo wako hapa.

Mkuu asikuumize kichwa hawa Team buku saba wa Lumumba huwa wanaongozwa na tumbo kufanya jambo lolote,kichwa kwao ni kwa ajili ya kufugia nywele tu na si vingine.
 
divide and rule is what CCM anafanya sasa.. mkiwa tunapiga kelele badala ya kujiimarisha kumtoa CCM madarakani october inaweza kuwa ngumu tuwe makini,...... ACT ni mtoto wa CCM
Hadi wewe unaelew hilo basi ni kweli Act ccm


swissme
 
Mwenye makengeza.sasa hivi atapiga sana pesa za ccm kabla hawajastuka.


swissme

Aje hapa akane kuwa hapewa pesa na serikali ya ccm kuptia akaunti ya mwanamke mmoja huko ujerumani.
Akatae kuwa hakuonana na bwana Kimei wa CRDB bank na kupewa pesa ambapo mgawanyo wake umekwenda kwa watu ambao leo wote wapo ACT, aje akane namba za simu zote zilizotolewa kuwa ni za kwake na zilikuwa zinagawa pesa kwa m pesa. Aje akane vikao vyake baina yake na mwigulu, wasira na lukuvi katika hiteli tofauti tofauti arusha na dar es salaam.
Aje hapa kama yeye si msaliti.
 
divide and rule is what CCM anafanya sasa.. mkiwa tunapiga kelele badala ya kujiimarisha kumtoa CCM madarakani october inaweza kuwa ngumu tuwe makini,...... ACT ni mtoto wa CCM

Mkuu nimeamini Zitto kawashika pabaya,Mpaka wewe MISS CHAGGA umekimbia MMU kuja kutetea Chama chenu.Ubaya mlidanganywa na Zitto kwamba anaacha siasa mkaingia mkenke mkamfukuza.Daa haya bana mimi ntakuja kusoma post zako MMU maanu huwa zinanichekesha sana.
 
zinachukuliwa kama njugu karibu ndugu usikilize ya wakosaji,chadema hawana akili kabisa ndomana huwa nasema ccm bado itaendelea kitawala nchi hii saaanaaa,mfano ni huu et cdm wanamuona zitto ni adui kuliko ccm!wanatumia muda mwingi kumchafua zitto kuliko kujiimarisha dhid ya ccm!kama sio ukawa mida hii cdm hata kwenye vyombo vya habari tusingeiona.karibu act wazalendo.
wape kadi wanaofanana na wewe
 
Mkuu nimeamini Zitto kawashika pabaya,Mpaka wewe MISS CHAGGA umekimbia MMU kuja kutetea Chama chenu.Ubaya mlidanganywa na Zitto kwamba anaacha siasa mkaingia mkenke mkamfukuza.Daa haya bana mimi ntakuja kusoma post zako MMU maanu huwa zinanichekesha sana.

mkijibu hoja hizo hapo juu nahamia ACT kesho asubuhi na mapema.
 
Back
Top Bottom