Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Ninamnukuu Mohamed Mtoi. ''Nilimeet na Zitto kwenye semina ya TACAIDS yeye akiwakilisha CCM mimi nikiwakilisha CHADEMA.

Leo huyu huyu anataka watanzania wamwamini kuwa ni mpinzani,watu wamemnyamazia asijione ni mshindi ana uchafu mwingi ambao hauna maelezo na ndiyo sababu UKAWA wamesita kumruhusu ajiunge nao kwa sababu haeleweki amesimamia upande gani.''

Chanzo: Mohamed Mtoi
 


Ninamnukuu Mohamed Mtoi.....''Nilimeetna Zitto kwenye semina ya TACAIDS yeye akiwakilisha CCM mimi nikiwakilishaCHADEMA.
Leo huyu huyu anataka watanzania wamwamini kuwa ni mpinzani,watu wamemnyamaziaasijione ni mshindi ana uchafu mwingi ambao hauna maelezo na ndiyo sababu UKAWAwamesita kumruhusu ajiunge nao kwasababu haeleweki amesimamia upande gani.
''

Chanzo: Mohamed Mtoi
vipi alitinga na ile minguo yao ya kijani ?
 
Zitto nilisha mdelete kwenye mind yangu
 
Last edited by a moderator:
Wewe unayejua ukweli sasa utuambie, Zitto alikwenda kwa mwaliko upi akimwakilisha nani na ccm iliwakilishwa na nani? Kubisha kwa kukataa kwa nguvu tu bila hoja ni upu.mba.vu ambao sitegemei kuwa unao. Hivyo tunategemea hoja ya marekebisho yatakayoonyesha mleta mada amekosea wapi.



Uongo mwingine unatia kinyaa sijui huyu mleta mada tumwiteje
 
Hivi eti huyo ni afisa wa CDM anatweet kitu kama hicho na misukule inaamini kua hata kama ni kweli ZZK anatumika ni wajinga kiasi gani ifikie hadi kuwakilisha CCM tuache majungu Vijana Chapeni kazi.ZZK ni nani hadi kila akifanya yake mnapagawa? Huo muda si mngewambia vijana namna ya kujikomboa.Mtoi ni kilaza sana na hii inaonyesha makao makuu ya CDM ilivyokumbatia vilaza natamani sana wachukue nchi tuone hao vilaza watapewa nafasi gani.
Acheni siasa maji taka wakati huu ni Lala Salama.
 
nimesema sikuaminishwa mkuu nimejionea mwenyewe. Amemsaliti mpaka Limbu muasisi mwenzake WA act wasaliti!
Dah kweli, huyu jamaa msaliti sana. Mtu mbaya kweli kweli kwenye mageuzi ya nchi hii, Simshangai lakini watu wa kigoma ndivyo walivyo. Amemfukuza limbu, akabadili jina la chama, akabadili katiba, ndani ya siku sita akajipa cheo cha uungu wa chama, au nuru kama anavyoita yeye. Inawezekana kweli siku sita tu ndani ya chama unapata cheo kikubwa kuliko wote? Ajabu pia ni mpinzani gani anaondolewa bungeni, wabunge wa ccm wanalia machozi na kuomboleza? Ni mpinzani huyo au mwenzao? Hivi kweli tundu lissu leo afukuzwe bungeni, wabunge wa ccm watalia kwa ajili yake na kuomboleza? Ukipata jibu hilo, utajua zitto ni nani..
 
Zitto Zuberi Kabwe amekuwa akishambuliwa mara kwa mara kwa tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikirudiwa rudiwa bila ushahidi.Amekuwa akiitwa msaliti lakini bila ushahidi dhahiri.Pamoja na kufukuzwa ndani ya Chadema na kujiunga na ACT ambayo ni haki yake kikatiba lakini bado mashambulizi yanaendelea.
MASWALI YA KUJIULIZA;
1.Je, ana athari gani katika siasa?
2.Je, ni kweli ni tuhuma za usaliti tu ndizo zinazofanya aendelee kushambuliwa?
3.Je, ni hofu ya kushika nguvu ya upinzani?
4.Je, ni uwezo alionao katika kujenga hoja?
5.Je, kama hana madhara katika siasa za upinzani kwa nini anashambuliwa kwa tuhuma zisizothibitishwa?
 
Pamoja na maxuri yote uliyosema na kujiuliza ila usisahau kuwa LIMBU NDIYE ALIKUWA MPINI WA CDM KUMUUA ZITO na bahat mbay ameshindwa hivyo hawana njia nyingine zaid ya kuendeleza tuhuma hewa na chuki za kipuuz kama SIFA za chama chao ZILIVYO
Kuthibitisha hilo eti eti eti na yeye kagombes ubunge mwanzs kupitia chama kilichomtuma kumuua xito(CDM) Maskini Limbuuuu....Mboweeer...Slaaaa...
Lisuuuuu....AIBIKENI NA CHAGADEMA YENUU
 
ACT ndio chama makini cha Upinnzani, hivi vingine vinachumia tumbo tu.
 
Back
Top Bottom