Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

zitto atachukua nafasi ya mrema...one man show,ndio maana anataka wabunge wa kigoma wahamie ACT kwa kuwa anajua itakuwa rahisi kwake kuizungukia kigoma wakati wa kampeni kwa kuwa majimbo yako jirani ili awapigie debe,kaisogeza na Tabora na Katavi kwa kuwa ni jirani,ana kazi kubwa ambayo inaweza kumfanya afilisike kiuchumi,believe me,ACT kitakuwa chama cha kigoma ,tabora,rukwa
 
Kile kijamaa ni bora kingeoa tu angalau kiwe na sense of responsibility.
We mwanaume gani unaelekea 40s hujaoa? hoi ni ishara ya ubinafsi na ni rahisi sana kwa mbinafsi kuwa msaliti.
Lijamaa binafsi sana hadi wakamua mawese wa mwandiga nao pia hawana imani nae tena.
 
Umekuwa muongomuongo na kinyonga. Mara useme hili;mara ukane lile.Umekuwa mwanasiasa mwigizaji kwelikweli.Kigoma uliaga Ubunge mara mbilimbili. Kiko wapi? CHADEMA uliapa kuwa wa mwisho kutoka. Kiko wapi? Kwani umepatwa na nini? Umebadilika Zitto!

Nasubiri Bunge livunjwe ili niwaone Wabunge 50 wa UKAWA watakohamia ACT-Wazalendo kama ulivyojinadi. Isipokuwa kweli,nitajiunga na wasiokuamini na kukuona msaliti. Juzijuzi hapa umewaita watanzania Mwembeyanga uwatajie waficha mabilioni Uswisi.Nikaona kurejea kwa Dr. Slaa wa Mwembeyanga aliyetaja mafisadi 11 wa Tanzania. Pamoja na mbwembwe zote kwenye vyombo vya habari na magari ya matangazo,hukutaja.Ukagawa bahasha yenye majina ya wahindi!

Uko wapi uthubutu wako? Uko wapi ushujaa wako wa Buzwagi? Yuko wapi Zitto? Sijui umekuwaje. Lakini,chunga sana usije ukawa tapeli!

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)
Alisema atakuwa wa mwisho kuondoka KWA HIARI.....sasa hivi si kafukuzwa?
 
ha ha vuta nkuvute jamaa jajifunua usaliti wake......huwezi kuongoza kwa uhuni tu Mungu mwema

Na asingesema kutaja watu wa mabilioni hasingepata mtu na walikoleza wapambe zake anamtaja na Mbowe thubutu kuona wahindi walishakufa vita ya kwanza ya dunia
 
unataka kujiunga mara ngap na wasio muamin? Nyie endeleen kumkashifu na kumtukana lkn sisi tutaendelea kumuinua kwa kufaham nini amelifanyia na analifanyia taifa hili. hoja ya kusema hata gombea ubunge kg kazn ametekeleza na hii aliahid kutimiza utaratibu wa chama chake cha awal cha kutohudumu nafasi ya uongoz kwa zaid ya vipind viwil mfululizo, huyu n mfuata utaratibu; na pia kwa kua na yeye anaamin katika kubadilishana vijit imemlazmu kuhama jimbo kutokana na katiba kutomruhusu kugombea urais.
Mnamuita msalit kwa kuwa mlikubaliana chin ya sain ya mbowe kuwa wabunge wote wa CDM hawatopokea posho lkn badala yake wote isipokua yeye wakaendelea kujivutia mkwanja wa posho. ZZK kaweka majina hadharan na unaposema n majina ya kihindi unauhakika gan kuwa ndo majina yao halisi?
 
Kile kijamaa ni bora kingeoa tu angalau kiwe na sense of responsibility.
We mwanaume gani unaelekea 40s hujaoa? hoi ni ishara ya ubinafsi na ni rahisi sana kwa mbinafsi kuwa msaliti.
Lijamaa binafsi sana hadi wakamua mawese wa mwandiga nao pia hawana imani nae tena.
Ndio maana akaamua kuhama jimbo huyo kiongozi mkuu?
 
unataka kujiunga mara ngap na wasio muamin? Nyie endeleen kumkashifu na kumtukana lkn sisi tutaendelea kumuinua kwa kufaham nini amelifanyia na analifanyia taifa hili. hoja ya kusema hata gombea ubunge kg kazn ametekeleza na hii aliahid kutimiza utaratibu wa chama chake cha awal cha kutohudumu nafasi ya uongoz kwa zaid ya vipind viwil mfululizo, huyu n mfuata utaratibu; na pia kwa kua na yeye anaamin katika kubadilishana vijit imemlazmu kuhama jimbo kutokana na katiba kutomruhusu kugombea urais.
Mnamuita msalit kwa kuwa mlikubaliana chin ya sain ya mbowe kuwa wabunge wote wa CDM hawatopokea posho lkn badala yake wote isipokua yeye wakaendelea kujivutia mkwanja wa posho. ZZK kaweka majina hadharan na unaposema n majina ya kihindi unauhakika gan kuwa ndo majina yao halisi?

Huyo ni msaliti tu,na wewe sema utaendelea kumtumikia na familia yako.
 
Mimi kila nikisema huyu msaliti ni msanii.. Wakubwa wa humu jf wanafuta comment yangu..
 
Back
Top Bottom