msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Waliokuaminishwa wamejitahidi sana Malata Junior ipo siku watakuaminisha kua CCM mwisho wake huu na hapo utakua umedanganywa kweli
Last edited by a moderator:
kama zzk hutaki madaraka kwanini hukujiunga na chama kingine ambacho kina uongozi tayari.Utakao wandanganya hawazidi % 0.002 ya watz.Utawandanganya watz lakini huwezi kuwandanganya watz wakati wote unajisumbua bure.
nimesema sikuaminishwa mkuu nimejionea mwenyewe. Amemsaliti mpaka Limbu muasisi mwenzake WA act wasaliti!Waliokuaminishwa wamejitahidi sana Malata Junior ipo siku watakuaminisha kua CCM mwisho wake huu na hapo utakua umedanganywa kweli
Zitto kabwe kanichonganisha na familia yangu, baba yangu, mama, kaka na dada! Walinishauri nifuate / nipende itikadi, sera za chama na siyo m2, binafs nilimpenda zito kumbe nilipotea, leo hii zito ni m2 wa kutafuta huruma kwa wananchi, mara nimebadri sera ya madini, nimeibua escrow nk.
Kwa nini zitto umeamua kuwa mzito kiasi hicho, kumbe tatizo ni uongozi mkuu wa chama, walichokisema cdm una uroho wa madaraka umejithihirisha, wewe ni mkuu wa chama, mwenyekiti na wengine wote chini yako...kweli zito ni mzito
Nilimeet na Zitto kwenye semina ya TACAIDS yeye akiwakilisha CCM mimi nikiwakilisha CHADEMA.
Mtu huyu yuko ccm wakati alisha toa matusi ya kufuru dhidi ya CCM ambayo haya andikiki hapa.
Leo huyu huyu anataka watanzania wamwamini kuwa ni mpinzani,watu wamemnyamazia asijione ni mshindi ana uchafu mwingi ambao hauna maelezo na ndiyo sababu UKAWA wamesita kumruhusu ajiunge nao kwasababu haeleweki amesimamia upande gani.