LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 28,831
- 45,349
sasa unabishana na mimi au unabishana na maandiko matakatifu ya Biblia? Unaambiwa aliteswa akafa akazikwa, siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu. akapaa mbinguni kwa Mungu Baba. Yesu yu Hai. Mjuba mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, ukiyaleta mwilini kwenye akili hizo ulizo nazo utafeli pakubwa na kuonekana ni kituko katika ulimwengu wa rohoKwa ujinga wako uliwahi ona wapi kiumbe kilichohai kisionekane?upumbavu ni dhambi unapaswa kuufikirisha ubongo wako siyo kila ulicholetewa na kulishwa na wakoloni ni sahihi,yesu afe halafu awe hai kweli?