Kwanini Yesu na Muhammad walikufa lakini shetani hafi?

Kwanini Yesu na Muhammad walikufa lakini shetani hafi?

Kuna ugumu gani hapo kuelewa kuwa yesu na muhamad hawakuwepo na kama walikywepo basi hawakuwa na nguvu yoyote ndiyo maana shetani yupo hadi leo.
Ikiwa unataka kulinganisha katika viumbe hivyo utakuwa unakosea, kwani binadamu huwezi kumlinganisha na kiumbe asiyekuwa binadamu.
Athari za kihistoria zinathibitisha uwepo wao kutokana na maandiko yanavyoeleza, hata kaburi alilozikwa mtume Muhammad lipo Madina.
Vipi tunaweza kuthibitisha uwepo wa shetani hadi leo?
 
Hakuna kitu rahisi kama kupinga.
Sio kweli

Hata mimi nilidhani hivyo hapo mwanzo

The jamaa is best ever see humu, amehusika kwa namna ninavyohisi jamii japo si lazima niwe yeye
 
𝙼𝚊𝚕𝚊𝚒𝚔𝚊 𝚗𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚔𝚞𝚏𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚜𝚒𝚜𝚒 𝚊𝚞?!
 
Sio kweli

Hata mimi nilidhani hivyo hapo mwanzo

The jamaa is best ever see humu, amehusika kwa namna ninavyohisi jamii japo si lazima niwe yeye
Labda kama unaeleza hisia binafsi kuhusu huyo jamaa kwa upande wako ila kiujumla hakuna ugumu kwenye kupinga hasa kwenye kupinga uwepo wa Mungu, hoja ni zilezile na hoja kubwa kudai uthibitisho wa uwepo wa Mungu basi.
 
Shetani na Mungu wanakamilishana. Bila shetani Mungu Atapoteza maana/ umuhimu. Ndiyo maana shetani yeye kawekwa wa mwisho kabisa kuangamizwa. Na baada ya hapo hakutakuwa na kifo tena wala mateso na Mungu Ataweza kusimama peke yake bila upande wa maovu na dhambi kumsaidia ...

By the way Yesu yuko hai...
𝙼𝚔𝚞𝚞 𝚖𝚊𝚓𝚒𝚋𝚞 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚢𝚊𝚗𝚊𝚝𝚎𝚗𝚐𝚎𝚗𝚎𝚣𝚊 𝚑𝚘𝚓𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚊𝚖𝚋𝚊𝚢𝚘 𝚜𝚒𝚍𝚑𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚖𝚊𝚓𝚒𝚋𝚞 𝚢𝚊𝚔𝚎 𝚞𝚝𝚊𝚔𝚞𝚊 𝚗𝚊𝚢𝚘
 
𝙼𝚔𝚞𝚞 𝚖𝚊𝚓𝚒𝚋𝚞 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚢𝚊𝚗𝚊𝚝𝚎𝚗𝚐𝚎𝚗𝚎𝚣𝚊 𝚑𝚘𝚓𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚊𝚖𝚋𝚊𝚢𝚘 𝚜𝚒𝚍𝚑𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚖𝚊𝚓𝚒𝚋𝚞 𝚢𝚊𝚔𝚎 𝚞𝚝𝚊𝚔𝚞𝚊 𝚗𝚊𝚢𝚘
Kobazi umeandika nini? Sijaweza kusoma. Kama ni matusi basi yakurudie mwenyewe na kizazi chako 👹

20251023_131836.png
 
Labda kama unaeleza hisia binafsi kuhusu huyo jamaa kwa upande wako ila kiujumla hakuna ugumu kwenye kupinga hasa kwenye kupinga uwepo wa Mungu, hoja ni zilezile na hoja kubwa kudai uthibitisho wa uwepo wa Mungu basi.
Hisia binafsi zinaweza kuhusika na ndio maana nimemlenga

Lakini mbali na hilo tena mbali na upuuzi wa kiimani

Ni mmoja kati ya expect humu jf mwenye mchango chanya na nimeoa anapaswa afahamu hilo

Nilikuwa na mstari wa hisia binafsi na uhalisia hapo awali ila yeye kahusika sana kuukoleza katika ubora wake , na kunifanya nisione vibaya kuhisi hivi nilivyo

Hiki ndio ninachoweza sema kwa wakati huu
 
Ndio maana nikasema unachoeleza ni hisia binafsi zaidi kuhusu huyo jamaa ila tofauti na hivyo huyo jamaa kawazidi wenzake ubishi tu ila hoja ndio ndio zilezile.

Binafsi huwa napenda kuwa challenge hao jamaa hasa huyo jamaa yako na aliishia kuniweka kwenye ignore list.
 
Siwezi jua mlikua kwenye mijadala ipi na ubobevu wenu

Ila kama alikuignore Iyo inamhusu mwenye zaidi na sio kesi yako

Ila ni mtu ambaye namkubali kwenye ujengaji wa hoja na mifano kwenye kutoa picha ya anachomaanisha

SI wengi humu wanauwezo huo mtu anaweza waza jambo zuri tu kichwani ila uwasilishaji ukawa changamoto na ndio maana migongano haiishi
 
Mkuu ndio maana nakwambia kupinga ni jambo rahisi, huyo jamaa ukimchallenge yeye ndio utaelewa nachosema unaweza usiamini kama ndio yeye, namjua vizuri tumejadiliana sana mada hizi na kuna wapo member humu walikuwa wakimchukulia huyo jamaa kama kama wewe umchukuliavyo ila baadaye walikuja kuona hamna kitu. Ndio maana sasa hivi kaja na mbinu ya kuweka watui ignore list.
 
Shetan na mungu ni marafiki mpaka kesho mtu na boss wake hiz story zilitengenezwa na wazungu ili jambo lao litimie na wakatutisha kuna moto tutachomwa ili wapate sadaka nyingi
Walimfanya yesu awe stering shetan adui kuu ili picha linoge kiuhalisia haiko hivyo hata moto wa milele haupo ninachojua mtu akifa unaingia toharan kusafishwa na kuendelea maisha mengine ya kiroho kama majin na viumbe wengine wasionekana ndio maana mara kadhaa unaweza kuota unapewa maagizo na marehem au mrehem anakuambia kua anaendelea vizur huko alipo so mzungu kachezesha kwa maslai yake ndio maana kwenye bible na quran kuna vitu kavificha
 
Attachments

  • Screenshot_20251023_205708_Chrome.jpg
    Screenshot_20251023_205708_Chrome.jpg
    123.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20251023_205649_Chrome.jpg
    Screenshot_20251023_205649_Chrome.jpg
    137.6 KB · Views: 10
sasa mohammad na shetani wapi na wapi mpaka uwalinganishe? Umeambiwa Yesu yu hai hayupo kwa wafu, kwa nini unalinganisha vitu tofauti?
Kwa ujinga wako uliwahi ona wapi kiumbe kilichohai kisionekane?upumbavu ni dhambi unapaswa kuufikirisha ubongo wako siyo kila ulicholetewa na kulishwa na wakoloni ni sahihi,yesu afe halafu awe hai kweli?
 
Katika mistakabali huo ndipo wakaja watu wa Universe - kuna -ve energy na -ve energy / weupe na weusi
Yin Yang mradi kushugulusha ubongo
 
Katika mistakabali huo ndipo wakaja watu wa Universe - kuna -ve energy na -ve energy / weupe na weusi
Yin Yang mradi kushugulusha ubongo
 
Back
Top Bottom