Kwanini Yesu na Muhammad walikufa lakini shetani hafi?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Kuna ugumu gani hapo kuelewa kuwa yesu na muhamad hawakuwepo na kama walikywepo basi hawakuwa na nguvu yoyote ndiyo maana shetani yupo hadi leo.
 
YESU HAJAFA.ALISHNDA KIFO.SHETANI MDA WAKE UTAFIKA ATAANGAMIA MILELE
 
Yesu na mohamad walikuwa kwenye mission. Lusifa anasubili kichapo cha moto tu ni swala la mda tu
 
Sis yes alillipa deni letu issue ibaki kwet kumwamin yeye. Kinyum ya hapo unasepa na lusifa maan naye anatufa wa kwenda nao motoni
Shetani anatuona physically, kwanini na sisi tusopewe uwezo ea kumuona ili tuweze kumkwepa?
 
Shetani na Mungu wanakamilishana. Bila shetani Mungu Atapoteza maana/ umuhimu. Ndiyo maana shetani yeye kawekwa wa mwisho kabisa kuangamizwa. Na baada ya hapo hakutakuwa na kifo tena wala mateso na Mungu Ataweza kusimama peke yake bila upande wa maovu na dhambi kumsaidia ...

By the way Yesu yuko hai...
 
Kuna ugumu gani hapo kuelewa kuwa yesu na muhamad hawakuwepo na kama walikywepo basi hawakuwa na nguvu yoyote ndiyo maana shetani yupo hadi leo.
Shetani yupo wapi nami nije nimuone?

Nasikia tu shetani shetani sijawahi kumuona.
 
Shetani na Mungu wanakamilishana. Bila shetani Mungu Atapoteza maana/ umuhimu. Ndiyo maana shetani yeye kawekwa wa mwisho kabisa kuangamizwa. Na baada ya hapo hakutakuwa na kifo tena wala mateso na Mungu Ataweza kusimama peke yake bila upande wa maovu na dhambi kumsaidia ...

By the way Yesu yuko hai...
Anapatikana wapi huko aliko hai??
 
Sis yes alillipa deni letu issue ibaki kwet kumwamin yeye. Kinyum ya hapo unasepa na lusifa maan naye anatufa wa kwenda nao motoni
Hayo umeyajua kwa akili yako au umeelezwa hivyo kwa akili ya watu wengine??
 
Back
Top Bottom