shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,320
WhatsApp wameweka kiwangao cha washiriki (Group member) kuwa ni 256.
Ni nini siri ya hii number 256 kwa WhatsApp.
Yaani kwa nini 256 na sio 255,254 nk.
Najua wangeweka number yoyote pia ningehoji na hata sasa wakibadilisha na kuwa 556 bado pia nitahoji.
JF ya wabobezi mtusaidie kuna siri gani iliyo nyuma ya number hii ya 256?.
Najua hawakuiweka tu bali kuna kitu waliangalia
ℳ𝒶𝓈𝓉ℯ𝓇