Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Watu na confidence zao
 
Hapo ndio sijui kama nitashuhudia au la.
Tangu nilipofanyiwa operesheni mwaka 2013, nikapigwa nusu kaputi na kupotea kwa masaa ambapo siku-feel maumivu yoyote hadi nilipozinduka. kwa kweli hofu ya kifo imepungua kwangu. huo muda niliopotea niliufananisha karibu sawa na mtu aliyekufa.Yaani hujui chochote. sasa ukisema unaogopa kuoza si sawa kwani hutashuhudia lolote. mf mimi kama Waganga walinigeuza geuza nikiwa uchi sikutambua lolote.
 
Watu huogopa kifo kulingana na aina ya kifo ingekuwa unafahamu utakufa kwa mtindo gani basi isingejenga hofu,jenga picha mwingine hufa kifo amekaa,kukabwa koo,kwa moto,baharini,kumfia mpenzi wako kifuani wakati mkidhini na wengine mambo ya aibu huwafika kujinyea,kufa uchi!
 
Brother asee unankata stim mbaya eroo.

Kila uzi wako unaongelea masuala meusi tu arif.. [emoji21]

Mara kuzimu mara mortuary mara kifo aaahhh. Ngoja nilale zangu
 
Aiseee kumbe
 
Brother asee unankata stim mbaya eroo.

Kila uzi wako unaongelea masuala meusi tu arif.. [emoji21]

Mara kuzimu mara mortuary mara kifo aaahhh. Ngoja nilale zangu
 
Brother asee unankata stim mbaya eroo.

Kila uzi wako unaongeleaàa0 masuala meusi tu arif.. [emoji21]

Mara kuzimu mara mortuary mara kifo aaahhh. Ngoja nilale zangu
 
Kuna alieleta andiko hapa kuwa kama unawapenda watoto wako basi huna haja ya kuwa leta duniani.. kwamba utamzaa aje kukutana na taabu zote hapa, then baadae akifa akakutane na moto tena.. sasa kumuepushia hayo yote si bora usizae tuu? ha ha
 
Kwenye zile nchi zenye mabarafu kama Norway, na bara la Antactica ndiko kunafaa kuzikana,
sema watu hawajagundua tu, Na ingekuwa watu wanazikiwa kule basi hakuna ambaye angeogopa
 
Aisee ww ndo kama mimi nimemkumbuka my mom jamani nikiwaza kudanja naonaga kila kitu dunian hakifai why Mungu ukiweka kifo jamani[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kifo ni hatua mojawapo ya kukutana na Mungu (the Creator) there will be no time between this bodily life and the next spirtual life. Hakuna atakayekwepa, kama ulivyoshindwa ku escape birth, civyo hivyo kukutana na akiyekupa life na akaruhusu spiritual quit. Lazima kuonana naye whether for the better or for the worse. Mche Mungu nawe uzishike Amri zake.
 
Mi naogopa mno kufa ,,,na kuna watu hivi kama 7 nikiwemo mim sitaki wafe kabisa huwa nawaombea kila siku wasife ,mpaka huwa nalia naomba sana ,,na huwa najuta kwanini tulizaliwa halaf tunakufa ,kaburi linatisha sana cc Mwanamutapa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] me pia jamani Mungu uyu alijua kutukomesha hapo Ila hatuna njia ya kukikwepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…