Kwanini Wazungu wakifa hawafanyi kazi nyingine ngumu ya kuwa Mzimu wa ukoo

Vida1

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
538
1,534
Huwa najiuliza kwanini Mwafrika ndiyo kiumbe pekee ambae akifariki haruhusiwi kupumzika akifa tu anapangiwa kazi nyingine ya kuwa mzimu wa ukoo.

Wazungu wao ni tofauti wakifa wanapumzika kwenye pumziko la milele hakuna kukabidhiana mikoba ya uganga wala uchifu Kama waafrika.

Baada ya kufikiria hili kwa kina kidogo nikahisi labda Ni kutokana na wao kuzikwa kwenye makaburi masafi na matulivu yanayoruhusu wao walale huko chini ya ardhi kwa amani na pumziko maridhawa la milele tofauti na waafrika ambao makaburi yao ni machafu na vichaka vya maovu yote ya ukahaba, uchawi, n.k vinawafanya ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kuwa na nongwa na kutubania tuliobaki?

Jaribu kupita maeneo ya Posta karibu na Alliance francaise pale Greece Orthodox Church Kuna makaburi ya wazungu. Hata Mimi nikizikwa pale sitafuti kazi nyingine ya kuwa mzimu napumzika eternally. Forever and for Never kwenye fukuto la Amani. Sina haja ya kutaja makaburi ya Africa yanafahamika kwa uchafu wake na matunzo hafifu.

Wazungu ni binadamu wa daraja la juu sana. Niliwahi kufika makaburi ya Quebec, Canada asee. Makaburi yananukia Bigi jiii na Vanilla. Wamepanda miti ya yenye harufu nzuri ya aromatic scent miti na hewa yote ya ile cemetery inanukia Hadi unatamani ufe wakuzike pale pale unuse ile harufu milele.

Nawaheshimu Sana wale binadamu.
images%20(6).jpeg
images%20(5).jpeg
images%20(7).jpeg
images%20(4).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uta kapok UFA utakuwa mzimu, maana yake aliewahi kuwa binadamu. Na sasa hana mwili Bali roho, not new. Haijalishi ulipolala. U must become, and you will be happy.
 
Mizimu kwa kiingereza ni "Ghost." Na kama unafikiri kuwa wazungu wakifa wanapumzika unajidanganya mwenyewe.
Kwani vampires, haunting Ghosts, werewolves, na Ghouls , unafikiri ni vitu gani hivyo kama si mizimu?.
Ngoja nikuchambulie kama ifuatavyo:--.
Ghost, ni Nafsi ya Mtu aliyekuwa na mwili akafa katika mazingira ya kukatishwa maisha kama vile kuuwawa kwa kunyongwa. Nafsi hiki haitaenda kuzimu mpaka itakapolipiza kisasi kwa aliyemkatili maisha yake. Ndio maana anaweza kuonekana mara kwa mara mahali alipokatishwa maisha yake hasa kwenye nyumba aliyouliwa. Nyumba hiyo huitwa " Haunted House".
Werewolf, ni Mtu aliyetupiwa laana baada ya kufanya makosa mabaya kama vile mauaji ya halaiki kwa kukusudia . Na laana hiyo humshambulia wakati wa "Full Moon" usiku kwa kugeuka werewolf.
Vampire, ni roho ya Mchawi aliyeuliwa na kamchape au " Witch Hunter"na kuzikwa njia panda.akiwa amechomwa mkuki au kisu au mshale wa Chuma cha Silver au fedha.
Mkuki, au kisu kikiondolewa kwenye Skeleton , Nafsi hiyo, hutengeneza mwili wa muda na kisha kuishi kwa njia ya kunyonya damu ya binaadamu aliye hai.
Haya mambo sio mzaha wala sio maigizo. Yapo kabisa zaidi ni huko katika nchi za Wazungu. Sasa unaposema Ati ni waafrika peke yao, si kweli.
 
Nimeipenda mkuu
 
Nondo
 
Tofauti yetu na wazungu,mwafrika aliyekufa kila siku ikifika night anakuja kufufuliwa na kuchukuliwa na wachawi kwenda uharibifuni na hurudishwa kabla ya ahsubuhi na kurudishwa katika hali yake ya umauti
 
Ambacho waafrika labda hatuelewi ni kuwa mizimu ya wazungu huitwa watakatifu. Kwn wanaposema mt fulani utuombee sio sawa na sisi tunapoomba mzimu wa fulani utusaidie?
 
Mizimu kwa kiingereza ni "Ghost." Na kama unafikiri kuwa wazungu wakifa wanapumzika unajidanganya mwenyewe.
Kwani vampires, haunting Ghosts, werewolves, na Ghouls , unafikiri ni vitu gani hivyo kama si mizimu?.
Ngoja nikuchambulie kama ifuatavyo:--.
Ghost, ni Nafsi ya Mtu aliyekuwa na mwili akafa katika mazingira ya kukatishwa maisha kama vile kuuwawa kwa kunyongwa. Nafsi hiki haitaenda kuzimu mpaka itakapolipiza kisasi kwa aliyemkatili maisha yake. Ndio maana anaweza kuonekana mara kwa mara mahali alipokatishwa maisha yake hasa kwenye nyumba aliyouliwa. Nyumba hiyo huitwa " Haunted House".
Werewolf, ni Mtu aliyetupiwa laana baada ya kufanya makosa mabaya kama vile mauaji ya halaiki kwa kukusudia . Na laana hiyo humshambulia wakati wa "Full Moon" usiku kwa kugeuka werewolf.
Vampire, ni roho ya Mchawi aliyeuliwa na kamchape au " Witch Hunter"na kuzikwa njia panda.akiwa amechomwa mkuki au kisu au mshale wa Chuma cha Silver au fedha.
Mkuki, au kisu kikiondolewa kwenye Skeleton , Nafsi hiyo, hutengeneza mwili wa muda na kisha kuishi kwa njia ya kunyonya damu ya binaadamu aliye hai.
Haya mambo sio mzaha wala sio maigizo. Yapo kabisa zaidi ni huko katika nchi za Wazungu. Sasa unaposema Ati ni waafrika peke yao, si kweli.
Tafsiri ya neno "kamchape"
 
Movies zimeharibu akili yako kabisa
Mizimu kwa kiingereza ni "Ghost." Na kama unafikiri kuwa wazungu wakifa wanapumzika unajidanganya mwenyewe.
Kwani vampires, haunting Ghosts, werewolves, na Ghouls , unafikiri ni vitu gani hivyo kama si mizimu?.
Ngoja nikuchambulie kama ifuatavyo:--.
Ghost, ni Nafsi ya Mtu aliyekuwa na mwili akafa katika mazingira ya kukatishwa maisha kama vile kuuwawa kwa kunyongwa. Nafsi hiki haitaenda kuzimu mpaka itakapolipiza kisasi kwa aliyemkatili maisha yake. Ndio maana anaweza kuonekana mara kwa mara mahali alipokatishwa maisha yake hasa kwenye nyumba aliyouliwa. Nyumba hiyo huitwa " Haunted House".
Werewolf, ni Mtu aliyetupiwa laana baada ya kufanya makosa mabaya kama vile mauaji ya halaiki kwa kukusudia . Na laana hiyo humshambulia wakati wa "Full Moon" usiku kwa kugeuka werewolf.
Vampire, ni roho ya Mchawi aliyeuliwa na kamchape au " Witch Hunter"na kuzikwa njia panda.akiwa amechomwa mkuki au kisu au mshale wa Chuma cha Silver au fedha.
Mkuki, au kisu kikiondolewa kwenye Skeleton , Nafsi hiyo, hutengeneza mwili wa muda na kisha kuishi kwa njia ya kunyonya damu ya binaadamu aliye hai.
Haya mambo sio mzaha wala sio maigizo. Yapo kabisa zaidi ni huko katika nchi za Wazungu. Sasa unaposema Ati ni waafrika peke yao, si kweli.
 
Huwa najiuliza kwanini Mwafrika ndiyo kiumbe pekee ambae akifariki haruhusiwi kupumzika akifa tu anapangiwa kazi nyingine ya kuwa mzimu wa ukoo.

Wazungu wao ni tofauti wakifa wanapumzika kwenye pumziko la milele hakuna kukabidhiana mikoba ya uganga wala uchifu Kama waafrika.

Baada ya kufikiria hili kwa kina kidogo nikahisi labda Ni kutokana na wao kuzikwa kwenye makaburi masafi na matulivu yanayoruhusu wao walale huko chini ya ardhi kwa amani na pumziko maridhawa la milele tofauti na waafrika ambao makaburi yao ni machafu na vichaka vya maovu yote ya ukahaba, uchawi, n.k vinawafanya ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kuwa na nongwa na kutubania tuliobaki?

Jaribu kupita maeneo ya Posta karibu na Alliance francaise pale Greece Orthodox Church Kuna makaburi ya wazungu. Hata Mimi nikizikwa pale sitafuti kazi nyingine ya kuwa mzimu napumzika eternally. Forever and for Never kwenye fukuto la Amani. Sina haja ya kutaja makaburi ya Africa yanafahamika kwa uchafu wake na matunzo hafifu.

Wazungu ni binadamu wa daraja la juu sana. Niliwahi kufika makaburi ya Quebec, Canada asee. Makaburi yananukia Bigi jiii na Vanilla. Wamepanda miti ya yenye harufu nzuri ya aromatic scent miti na hewa yote ya ile cemetery inanukia Hadi unatamani ufe wakuzike pale pale unuse ile harufu milele.

Nawaheshimu Sana wale binadamu.
View attachment 1361447View attachment 1361449View attachment 1361450View attachment 1361453

Sent using Jamii Forums mobile app

Akili yako bado "premature", tusubiri upate umri kidogo ndipo utajua makosa yako.

We unadhani ndani ya kaburi mtu anakuwa hai aweze kuhisi harufu ya maua ya duniani??, maua ya duniani ni kwa ajili yako na mimi, sie tulio hai.
 
Back
Top Bottom