Kwanini wazee bado wananufaika Schoolarship? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wazee bado wananufaika Schoolarship?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KIM KARDASH, Jan 13, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Katika nchi zilizoendelea kuna nafasi za masomi mbali mbali wanazozitoa kwa ajili ya nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania,mimi nipo hapa Havard university nabeba box lakini kuna kitu kimoja ambacho hata sikielewi,hivi ni utaratibu gani huko nyumbani unatumika kuwapata wanafunzi wa kuja kuchukua nafasi hizo?Nauliza hivi kutokana na kushuhudia asilimia kubwa ya "wanafunzi"wanaokuja hapa kuwa ni wazee hasa viongozi..mfano alikuja hapa bwana mkubwa sumaye baada ya kutoka kwenye uwaziri mkuu huko nyumbani baadae akaja bwana Amani na familia yake,najiuliza hawa wazee wanaweza kuwa na mchango gani zaidi kwa taifa mpaka wakapewa nafasi hizo ambazo katika hali ya kawaida tulitegemea kuwaona vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa,kwanini nafasi hizo wasipewe vijana au vijana huko nyumbani wote wameelimika na hawahitaji tena nafasi kama hizo?
   
 2. N

  Ninliy Senior Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli ni kwamba tunazitaka sana nafasi hizo lakini hatuzipati bcs wanazichukua wao.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Vijana watanzania wameridhika na elimu wanayoipata ndani ya nchi yao.over
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Ni sawa kabisa kuwasomesha hawa watu wenye umri mkubwa. Mimi ninaelewa sana haya mambo yanavyokwenda serikalini, jua ya kwamba hawa watu hawakuanza kuomba nafasi za masomo mwaka jana/juzi... watu wamestruggle miaka 25 bila ya kupumzika kuomba udhamini wa kujiendeleza kimasomo huku wakiendelea kuitumikia serikali kwa uadilifu mkubwa, sasa ndio ije wewe umeitumikia serikali mwaka 1 au 2 wakupe udhamini, kweli? kwa utaratibu ni lazima upange foleni au jisomeshe mwenyewe/tafuta private sponsor
   
 5. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we mbona hutoi point hata siku moja, siku zote unaongea pumba tu. Na majibu ya yako ka ya mwanamke wa pwani
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  c ndio mazuzu ka nyie ninao wazungumzia.we endelea kukaa na vilaza wenzio huko muccobs,na hautakaa upate scholarship hata siku 1.over
   
 7. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hizo foleni huko nyumbani tu?mbona nchi nyingine za kiafrika nawaona wanakuja hapa vijana wadogo?hizi offer huwa zinatolewa kwa nchi zinazoendelea kwa ajili ya watoto wa kutoka college,hizo za wazee zipo but ni kwa ajili ya short course sio course za miaka minne...mnaleta wastaafu kuja kusoma course za 4 years wawe wakirudi wawe nani hasa huko nyumbani?mfano hao mabwana wakubwa wawili niliowataja hapo juu elimu walioipata inasidia nini huko nyumbani kwa sasa?mi nilikua nashangaa wanabanana darasni na vitoto vya miaka 24 mpaka 30 hadi aibu yani
   
 8. B

  BARRY JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  wazee unaowaona hapo chuo tayari wana uwezo wa kujilipia fees na mengineyo coz wameshapigana na kupata fedha. Vjana unaowaona hapo wanasomeshwa na wazazi/ndugu zao wenye uwezo....................TZ haina uwezo wa kusomesha vijana wengi havard kwa hela ipi? piga box upate dollar, soma chuo chochote hapo ulipo, pata ujuzi .........rudi bongo ukapige hela ndefu kule...........fursa kibao bongo kwa wale wenye uelewa mpana!
   
 9. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa nimeprove we ndo zuzu kabisa
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Naona hukunielewa mzee,sikumaanisha Tanzania ndio inatoa hizo schoolarship,no...ni kwamba hizo schoolarship hutolewa na nchi zilizoendelea kwa nchi masikini kama Tanzania n.k. ila huwa zinapitia serikalini,hao wazeee wakija hapa hawalipiwi na serikali ya tanzania bali hulipiwa na hizo nchi tajiri,swali langu ni kwanini serikali inapopata nafasi hizo isillete vijana badala yake wanakuja wazee kama hao ambao tena walishakua na vyeo vikubwa huko nyumbani mfano wa huyo sumaye na amani karume ambae alikuja hapa na familia yake..watu hao wanaweza kuajiriwa na kampuni gani tena huko nyumbani ambapo wataweza kuonyesha hayo maarifa waliyoyapata huku?nchi nyingine kwa kutumia nafasi hizo hizo mbona zinaleta vijana?
   
 11. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Napenda kutoa ufafanuzi wa baadhi za hoja kuhusu masuala ya scholarships ughaibuni.

  Kuna dhana kubwa na ni dhana potofu hususani kwa Watanzania wengi kuamini scholarships hutolewa kwa wanasiasa, watoto wa wanasiasa, vogogo serikalini nk. Hivyo watu wengi wameamini kuwa suala la scholarships ni connection ya kujuana nk.

  Siwezi kumsemea Sumaye kusoma Havard. Sina uhakika kama mtoa mada ana ushahidi kuwa Sumaye alipewa scholarship au la toka Havard au serikali ya Marekani kwa ujumla wake. Na hata kama alipewa scholarship, kwa vyuo kama Havard kwa mtu kama Sumaye alikuwa na sifa za kupewa scholarship ya kusoma Administration aliyosoma. Kawaida kuna wanafunzi wanakuwa admitted kwenye vyuo kama Havard si sababu ya matokeo yao shuleni yaani GPA zao bali uzoefu wao walionao kazini. Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10, hiyo ni sifa tosha ya kuwa admitted. Lakini suala la schol;arship sina uhakika kama alipewa au alijisomesha, kwani Sumaye ana hela ya kujisomesha yeye mwenyewe.

  Nije kwenye suala la scholarship kwa watanzania. Binasfi nimejitolea kuwa mstari wa mbele kutoa information khs scholarships kupitia blog MAKULILO Jr, forum SCHOLARSHIP FORUM, show MAKULILOFOUNDATION's Channel - YouTube, facebook Makulilo Scholarships | Facebook na sasa ninaadnika makala za scholarships kwenye gazeti jipya la Jamhuri kila Jumanne. Na sasa ninaandika kitabu cha SCHOLARSHIPS for International students, unaweza kusikiliza Book Audio Trailer hapa Scholarship Book - The Secret from Makulilo - YouTube

  Watanzania si wengi wanaozifuatilia hizi scholarships. Wengi wao bado wanaamini kupata scholarship ni bahati au kuwa mtoto wa kigogo. Wengi hawapendi kufuata masharti ya uombaji, nini kinatakiwa kujiandaa ili upate. Hivyo vijana wengi hawapati scholarships hizi sababu ya kutofuata masharti wakati wengi wa watu wazima wanakuwa wako committed na kuzitafuta scholarships hizi.

  MAKULILO
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hoja yangu hapa ni kwamba mtu kama sumaye au mzee mungine yeyote ambae ameshamaliza utumishi wake katika kulitumikia taifa hiyo elimu ya HAVARD anaifanyia nini huko kwa sasa?maana angekuja kipindi kile akiwa bado analitumikia taifa kungekua na mantiki lakini kwa ujio wake ule ambapo tayari alikua ameshastaafu sidhani kama una tija yeyote huko nyumbani....hizo nafasi kama nilivyosema huko nyuma zinakua zimelipiwa na chi tajiri kwa ajili ya nchi masikini duniani na huwa zinatolewa kila mwaka hapa watu wanakuja tunawaona alkini watz wenzangu wakija ni wazee tena waliotoka kuongoza kupitia ccm mpaka wenzangu wa mataifa mengine ya africa kama nigeria,south sudan n.k. wananicheka wanasema nchi yenu haina vijana wote wamekufa kwa ukimwi labda ndio mana wasomi wenu kila mwaka mnaleta ni wazee!wenzetu wanaleta watu fresh from school,damu changa ili wakasaidie nchi zao!
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wewe ni mgumu sana kuelewa
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,137
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  mkuu hivi vizee vyetu huku Tanzania viko ki'self interest zaidi.. Hata madaraka kwenye government agencies havitaki kuachia,
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  jamaa ana hoja wewe unatumia jazba kuizima...na hii hata viongozi wanayo sana,kama huna majibu ya hoja yake ni bora ukanyamaza.Mfano hapo anapouliza hao wazee baada ya kupata hayo maarifa wana mchango gani kwa taifa kwa kutumia hayo maarifa ya Havard?ilitakiwa kama unayajua ndio umjibu kama na wewe hujui basi ingetosha ukae kimya kuliko kujaribu ku shut down hoja yake!
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hii ni post ya 2 baada ya ile ya mwanzo. Nimejaribu kutumia lugha nyepesi ili nisilete mabishano na kupoteza lengo la mleta mada. Nilijaribu kuleta uhalisia katika serikali yetu (post ya 1) .. sikutaka kumuuliza kuwa anauhakika gani ya kuwa sumaye na amani walipelekwa na govt.. (mengi amemalizia makulilo).
  knowledge is an asset --- Sumaye & Aman wanamengi sana kuisaidia nchi hii hata kama wamestaafu. Kuna viongozi wastaafu wengi sana tumeona wakipewa nafasi za juu kama wakurugenzi etc (Hii haimaanishi wanaowateua wamekosa wakumpa kazi/wanabebana)

  Naomba niishie hapa, tusipoteze lengo la mleta mada
   
 17. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kwa kweli hii nchi ni ya ajabu sana,scholarship za vyuo venye viwango uwa wanapeana wenyewe kwa wenyewe.Kwa hivi vyuo vya bora liende wanaruhusu fair competition,hawa watu ni wahovyo sana.
  Mbongo unapewa scholarship ya kwenda kusoma algeria,mozambique,kenya,burudi....sasa uko unaenda kufanya nn kama sio kuongeza ukilaza!
   
 18. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Elewa unachojaribu kikiwasilisha huyu ndugu yetu.
  Anachosema ni kwamba,kwanini mtu ambye kabakisha miaka mi5 ya kustafu au tayar kashastafu,iweje apewa nafasi ya kwnda kusoma?mtu sio tena uzalishaji kwa serikali,kwann apewe nafasi hyo??nawakati vijana wapo wengi tu wanataka nafasi.!!
   
 19. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kaka yashakuwa hayo??
   
 20. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  achana na huyu kenge
   
Loading...