Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Kwa kweli hii nchi ni ya ajabu sana,scholarship za vyuo venye viwango uwa wanapeana wenyewe kwa wenyewe.Kwa hivi vyuo vya bora liende wanaruhusu fair competition,hawa watu ni wahovyo sana.
Mbongo unapewa scholarship ya kwenda kusoma algeria,mozambique,kenya,burudi....sasa uko unaenda kufanya nn kama sio kuongeza ukilaza!
umeongea point mkuu..binafc nlipata makerere universty, enzi hzo kulikua na kitu kinaitwa exchange program for students in east africa,nkaona ujinga,bora nibaki bongo kwetu tu.