Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
wanalea watoto kama jinsi wao walivyolelewa.....poverty is real
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....🤣
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...😜
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....😝
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena supu ya kuku kibudu!!

Ila kaka wewe mpanaaa!
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....

Bakuli la kuuzwa kwa mafungu.
 
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe,,

Ni kwl mkuu watu wengi hawathamini wanapolala watoto wao.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom