Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Kubishana juu ya ugunduzi wa hawa jamaa hata dunia inakushangaa. Kwanza population ndogo, pia wameishi kwa kutangatanga, pamoja na hayo impact yao imeonekana
Kumbe tunabishana.!!!!!! I thought nauliza maswali nawe unanielekeza mkuu!!!
 
naona mkuu leo umeamuwa kufurahisha baraza, wataalam wa kirusi na kimarekani percent kubwa ni wayaudi.

Je unafahamu ni nani waliokomesha concentration camp?

Hapana naamini kwenye kujifunza haswa kwa mijadala kama hapa!!!!!!
Central thesis ni wanachukiwa, tunajadili sababu sasa!!!!
Zimetajwa nyingi tu ambazo ni kuwasifu na si kusema why wanachukiwa per ce..if at all wanachukiwa!!!!!

Sasa unapoambiwa hawa ni wagunduzi ila ukiomba comparison frame hupewi unatajiwa tu waliyofanya hapa unaona sawa????!!!!
Nini maana ya comparative analysis???!!!!

Haya nawe umeleta concentration camps in line na kuchukiwa kwao au "intelligence" capacity????!!!!
 
art-spooner-620x349.jpg Anti semitic gesture led to Nicolas Anelka ban
 
Swali langu la tatu kwa mleta hoja.

3. Umefanya utafiti wowote kutoka hao ulosema wanawachukia wayahudi? kama ndiyo je wanawachukia kwasababu zipi?

Kama hujafanya hii konklusheni/hitimisho umelifikia kwa utarabu upi?, maana lazima watakuwa wanasababu na wamekupatia tuwekee .....
 
Ukitaka kuona tofauti we jiulize Tanzania, Kenya na Uganda Rwanda na Burundi tuko Mil zaidi ya Mil 90. tumewahi kugundua nini? Wao wako Mil 12 at much Wamegundua yote hayo. Albert Einstein ndiye aliyegundua Atomic Bomb ambalo ndilo lililomaliza vita ya Pili ya Dunia. Yeye ndiye aliyawapa maelekezo namna ya kulitengeneza. Unafahamu Streller? Banker Buster? Python? Yote haya wamagu dua wao. Wavhina wako Bil 1.2 lakini ugunduzi wao hauna impact kubwa duniani kama hawa watu. Mtazamo tu. Baadhi ya silaha walizogundua zinatumiwa na jeshi la Marekani ni hizi hapo kwa link

https://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/US-Israel/israelisystems.html

Kuna mambo wingi una nguvu na kuna mahali wingi hauna nguvu

Mkishambuliana kwa kupigana bila kutumia silaha wala ujuzi wowote wale ambao ni wengi wana nafasi ya kushinda

Kwenye suala la kutumia ubongo kufikiri halihitaji wingi
Mnaweza kuwa wengi lakini hamjui namna ya kufikiri vyema!
 
Yawezekana wao siyo wa ulimwengu huu...."Just Thinking".

Naunga mkono hoja, Hawa watu sio watu wa kawaida na huo ukweli watu wachache kama marehem Hugo aliyekuwa rais wa Venezuela amekufa wakiwa na siri nyingi saana kwa mfano.. Bush alipo maliza kuutubia akaenda yeye kisha akasema, Nasikia harufu ya Shetani.
 
Ukitaka kuona tofauti we jiulize Tanzania, Kenya na Uganda Rwanda na Burundi tuko Mil zaidi ya Mil 90. tumewahi kugundua nini? Wao wako Mil 12 at much Wamegundua yote hayo. Albert Einstein ndiye aliyegundua Atomic Bomb ambalo ndilo lililomaliza vita ya Pili ya Dunia. Yeye ndiye aliyawapa maelekezo namna ya kulitengeneza. Unafahamu Streller? Banker Buster? Python? Yote haya wamagu dua wao. Wavhina wako Bil 1.2 lakini ugunduzi wao hauna impact kubwa duniani kama hawa watu. Mtazamo tu. Baadhi ya silaha walizogundua zinatumiwa na jeshi la Marekani ni hizi hapo kwa link

https://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/US-Israel/israelisystems.html
sasa impact ya atomic ni ipi kama siyo kuleta mauaji ya malaki ya watu?.

Kuna watu wamegundua aspirini,paracetamol,fancida etc hamuwasemi,ila mnasifia mgunduzi wa silaha za maangamizi?
 
Ni taifa takatifu la
Mungu,makuhani wa kitume na warithi wa ufalme wa Mungu duniani na
Mbinguni.....Mungu anawapenda na kuwalinda...tabia zao zinaonyesha kuna
kitu kisicho cha kawaida wanajivunia,nacho ni agano lao na Mungu!
Atakaewalaani na Mungu atamlaani....

akili ndogo hizi kwa hiyo wewe mungu hakupendi kwakua si jewish
 
Kama mtoa mada yupo sahihi hili halitasaidia kwakuwa hata hizo tafiti watakuwa wamezifanya hao "wanaowachuki"
Kama watakuwa wamezifanya wao basi hazitaaminika kabisa kama zikisema kinyume na mawazo ya "wanaowachukia"

Cha kufanya ni kutafiti kama kweli wanachukiwa
Kama kweli wanachukiwa tatizo litaanzia kwa wale wanaowachukia!

Nilitaka hiyo iwe yard stick atleast pa kuanzia hii argument ya kuwa wanachukiwa sababu ya akili zao kaka!!!!!
Kwenye chuki kuna mawili kaka unaweza wewe usiwe na chuki ila mbaguzi,una dharau,huna msaada na wenzako, huwapendi ila pia huoneshi chuki na kama hayo sasa wao wanalipiza yote hayo kwa kukuchukia tu!!!!!

Hapo sababu ni wewe ila huoatikani na kosa la chuki
 
Hapana naamini kwenye kujifunza haswa kwa mijadala kama hapa!!!!!!
Central thesis ni wanachukiwa, tunajadili sababu sasa!!!!
Zimetajwa nyingi tu ambazo ni kuwasifu na si kusema why wanachukiwa per ce..if at all wanachukiwa!!!!!

Sasa unapoambiwa hawa ni wagunduzi ila ukiomba comparison frame hupewi unatajiwa tu waliyofanya hapa unaona sawa????!!!!
Nini maana ya comparative analysis???!!!!

Haya nawe umeleta concentration camps in line na kuchukiwa kwao au "intelligence" capacity????!!!!
mbaya zaidi tunawekea wagunduzi kumi,wakati hapa duniani kuna mamilioni ya vitu tunavyotumia vimegunduliwa,havikutokea tu kimazingara.
 
Kama unampenda Mungu wa kweli utawapenda lkn kama ni WA upande ule mwingine uwezi kuelewa kabisa hata iweje

Basi si sote tuwe wayahudi na kuabudu dini ya kiyahudi... ikiwa kumpenda mungu ndio huko...

NKT!
 
Nilitaka hiyo iwe yard stick atleast pa kuanzia hii argument ya kuwa wanachukiwa sababu ya akili zao kaka!!!!!
Kwenye chuki kuna mawili kaka unaweza wewe usiwe na chuki ila mbaguzi,una dharau,huna msaada na wenzako, huwapendi ila pia huoneshi chuki na kama hayo sasa wao wanalipiza yote hayo kwa kukuchukia tu!!!!!

Hapo sababu ni wewe ila huoatikani na kosa la chuki

Ninachokijua mimi ni kuwa kama mtu ana udhaifu huo uliousema hapo halafu kuna mtu akakuchukia tatizo linaanzia kwa anaechukia

Kitendo cha wewe kumchukia mtu mwenye tabia hizo ni udhaifu kwa wewe kushindwa kumuonesha makosa yake kwa kumtendea mema

Kuna mambo ya kuyachukulia tahadhari kama yale ya kigaidi na wote ambao wana promote ugaidi kwakuwa ni hatari kwa maisha ya binadamu na hata ukuwachukia hawa utakuwa na sababu ya maana

Kama mtu hana msaada na wewe anakubagua bila kukuumiza na mengine kama hayo kuna sababu gani ya kumchukia?

Lakini pia hata hayo ambayo yanadaiwa kuwa wanayafanya hao Wayahudi pia hayana ushahidi sawa na yale ambayo yanawafanya wapewe sifa nayo hayana ushahidi pia!
 
sasa impact ya atomic ni ipi kama siyo kuleta mauaji ya malaki ya watu?.

Kuna watu wamegundua aspirini,paracetamol,fancida etc hamuwasemi,ila mnasifia mgunduzi wa silaha za maangamizi?

Ninachoongelea ni madhara ya kuchukiwa na watu na kupendwa na watu wengine. Hoja ni kwa nn wana hukuwa. Unadhani Wajapan wa Horoshima watakuja wawapende Wayahudi? Ndiyo ilikuwa lengo langu. Kumbuka mara nyingi watu wanaofanya maovu ndiyo wanakumbukwa kuliko watu waluofanya mazuri. Ndo maana hata wewe humjui aliyegundua Panadol au Aporin lakini unamjua mtu aliyewaua sana Wayahudi
 
mbaya zaidi tunawekea wagunduzi kumi,wakati hapa duniani kuna mamilioni ya vitu tunavyotumia vimegunduliwa,havikutokea tu kimazingala.

Ili ku debunk madai yake kwanini wewe usiweke ishirini ambao sio Wayahudi?
 
Back
Top Bottom