Kwanini watu wote wenye akili na uelewa wa mambo hushabikia CHADEMA?

Kwanini watu wote wenye akili na uelewa wa mambo hushabikia CHADEMA?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,579
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye wenyewe ni mashahidi,ingawa nimejizuia kuandika kwa mifano ya majina ya watu
 
Hata TWAWEZA walifanya utafiti na kukusanya takwimu nchi nzima kwa ruka zote, matokeo yakawa:

1) CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga
.2) CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana.

Hali imebadilika kidogo kwa sasa ambapo CCM inaungwa mkono zaidi na watu wenye akili ndogo, elimu ndogo, wanufaika wa rushwa za kuuza rasilimali za nchi kama vile bandari, viwanja vya ndege, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu.
 
Ukiona mwanafunzi wa chuo anasoma miaka mitatu bila kugoma, ni aidha ana kariri, au haelewi anachofundishwa na walimu wake awapo chuo ( Chachage, 2000s). (RIP)
 
Mwaka huu tutashuhudia kila aina ya vijembe , tunaomba tu msije kuwatelekeza mtakaowapanga mstari wa mbele

Nyie mkakimbilia kanada na ubelgiji
 
Jibu ni simple.

Kwa sababu Chadema ni chama kinachopenda kutumia akili kwenye masuala yake na Sera zake.
 
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye wenyewe ni mashahidi,ingawa nimejizuia kuandika kwa mifano ya majina ya watu
kama nani? wema sepetu?
 
Back
Top Bottom