Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Maisha na mazingira tunayoishi yanatuathiri sana.

Ndo maana hata Reasoning capacitu kwetu ni tabuu tupu
 
Ukweli mkuu elimu yetu inatuandaa kuja kuishi maisha mazuri ambayo ni kuitumia vizuri taaluma yako ikuingizie pesa not otherwise.

Na ndio maana mtu aliyesoma na hana hela jamii inamuona kama alipoteza muda tu huko shuleni.
IQ na Elimu kipi ni kipi
IQ ndogp: nakufanya usiweze kujitambua na kuyatambua mazingira yako
 
IQ ndogo ndiyo imesababisha MTU kama Daudi kuwa mkuu wa mkoa
Vetted well na waahfrika wasomi
Waligndua na kuendelea kutafiti ni IQ yakat
 
Nafikiri wewe ndio una IQ ndogo,
Huenda yako ikawa ni -0.000000000000007
Haya mambo ya kujiona kujishusha ni ya kijinga kabisa.
Kubali ukweli.
Mbona wao weupe wameendelea zaidi kiviwanda kuliko sisi?
mbona walitutawala na sio sisi kuwatawala?
Acha siasa kwenye ukweli,mtu kama Makonda hawezi kupata hata cheo cha kufagia ofisi huko kwa weupe.Looo!!!!!!
 

John Pombe Magufuli mzee wa visasi. Nimekusaidia kutaja
 
tatzo ni nature ya msosi wa Africa tunakula na hkuna mapukzko ya kutosha ya akili na fikraaaa
 
Acha kuaminishwa vitu vya kijinga, hiyo research imefanywa na watu weupe, ulitegemea waseme kwmb wao ndo wana IQ ndogo? Ifike hatua tubadilike sio kila asemacho mzungu sisi tunaamini km mafala au makondoo. Any way mi IQ yang ni kubwa kuliko wazungu wote duniani
 
Mpaka hapa wewe pia iq yako ni ndogo sana
 
Sababu zinazompelekea mtu kuwa na IQ ndogo au kubwa ni hizi hapa.
1.Chakula ,kuanzia pale mama awapo mjamzito mpaka kipindi mtoto anafikia umri wa miaka 5 au umri wa balehe.
2.Hali ya afya aliyokuwanayo mtu alipokuwa mtoto,kuna magonjwa yana shusha IQ yakimshika mtu awapo mtoto.
3.Malezi/mazingira ya mtu alipikuwa mdogo.
4.**** Genetics reasons(kurithi) suala hili ndo hubeba zaidi ya asilimia 75, ukitaka kuprove mwoe au uolewe na watu wa Asia au US. Then mcheki mtoto mtakayemfyatua.
 
Kweli Mkuu,mmoja ni Mgonjwa wa akili mwingine ni mwenye akili.
 
Lini mtu mweupe akamwandika positive mtu mweusi,mimi nafanya nao kazi mda wote lakini naona IQ yao na yangu haipishani maana kuna vitu wanashindwa wanaitaji pia msaada wangu pia Mimi kuna vitu vinagoma naitaji msaada wao
vitu vingi vibaya wamevihusisha na black...black leg, black list, black hat, black market, black money....and then a black man...vizuri wameviita white ....white hat, white list...imefanyika makusudi
 
Asante kwa Maelezo mazuri mkuu.
 
Sio kila sehemu wanatumia mahindi apa Tanzania kama chakula kikuu. Baadhi ya watu wanakula mara moja kwa wiki, na hawatumii vyakula vinavyotokana na mahindi zaidi ya ugali. Marekani wanatumia kama chakula cha ng'ombe.
kwa hiyo unataka kusema wafrika wanakula mahindi ambayo hayana nutrients za kuwezesha ubongo kuwa active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…