IQ na Elimu kipi ni kipiUkweli mkuu elimu yetu inatuandaa kuja kuishi maisha mazuri ambayo ni kuitumia vizuri taaluma yako ikuingizie pesa not otherwise.
Na ndio maana mtu aliyesoma na hana hela jamii inamuona kama alipoteza muda tu huko shuleni.
IQ ndogo ndiyo imesababisha MTU kama Daudi kuwa mkuu wa mkoaIQ ndogo ndivyo zilivyo ,,badala ya kuwaza Kutafuta ufumbuzi wa tatizo la Ukame lililolikumba Taifa ili sasa Wasomi wenye CV na Vyeti vzr waje na majawabu ya namna ya kulitatua tatizo hili,,
Hakuna watu wapo bise kutaka CV ya Makonda tu,, Ukame,, Maradhi,, Vifo vya watoto wadogo vyote hivyo hakuna anayefikiria zaidi CV ya Makonda tu.
Kubali ukweli.Nafikiri wewe ndio una IQ ndogo,
Huenda yako ikawa ni -0.000000000000007
Haya mambo ya kujiona kujishusha ni ya kijinga kabisa.
Sidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...
Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...
Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
AiseeOgopa sana mtu sahani moja ya ubwabwa,kofia na kanga vinamsahaulisha matatizo ya miaka mitano!
Mpaka hapa wewe pia iq yako ni ndogo sanaSidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...
Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...
Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Kweli Mkuu,mmoja ni Mgonjwa wa akili mwingine ni mwenye akili.Youngblood
IQ ni nini? Unafuatilia masuala ya IQ ilivyoanza na jinsi sasa ukiongelea IQ miongoni mwa wasomi wa cognitive sciences unaonekana umepitwa na wakati?
Aliyetengeneza silaha za nuclear zinazoweza kuua binadamu wote na ambaye hajatengeneza nani ana akili?
vitu vingi vibaya wamevihusisha na black...black leg, black list, black hat, black market, black money....and then a black man...vizuri wameviita white ....white hat, white list...imefanyika makusudiLini mtu mweupe akamwandika positive mtu mweusi,mimi nafanya nao kazi mda wote lakini naona IQ yao na yangu haipishani maana kuna vitu wanashindwa wanaitaji pia msaada wangu pia Mimi kuna vitu vinagoma naitaji msaada wao
NotedHakika
Sawawewe utakuwa na matatizo ya problem
Asante kwa Maelezo mazuri mkuu.Sababu zinazompelekea mtu kuwa na IQ ndogo au kubwa ni hizi hapa.
1.Chakula ,kuanzia pale mama awapo mjamzito mpaka kipindi mtoto anafikia umri wa miaka 5 au umri wa balehe.
2.Hali ya afya aliyokuwanayo mtu alipokuwa mtoto,kuna magonjwa yana shusha IQ yakimshika mtu awapo mtoto.
3.Malezi/mazingira ya mtu alipikuwa mdogo.
4.**** Genetics reasons(kurithi) suala hili ndo hubeba zaidi ya asilimia 75, ukitaka kuprove mwoe au uolewe na watu wa Asia au US. Then mcheki mtoto mtakayemfyatua.
kwa hiyo unataka kusema wafrika wanakula mahindi ambayo hayana nutrients za kuwezesha ubongo kuwa activeSio kila sehemu wanatumia mahindi apa Tanzania kama chakula kikuu. Baadhi ya watu wanakula mara moja kwa wiki, na hawatumii vyakula vinavyotokana na mahindi zaidi ya ugali. Marekani wanatumia kama chakula cha ng'ombe.
ww unayejua sababu tupe hizo sababu zako tuone IQ yakoMfano wa IQ ndogo ni pamoja hoja kama yakko