Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Hizi bunduki(neno la kiarabu) ulaya zilianza kutumika miaka ya 1500. Asia, Uarabuni , India na kwingineko hawakuchelewa kuanza kuzitumia. Hata wakati wazungu wanaenda kuchukua makoloni walikutana na watu wenye bunduki.
Ajabu sisi hadi miaka ya 1800 na 900 mwanzoni tulikuwa bado hatujaadapt bunduki. Wazungu 150 walipigana na wazulu 3000. Alikufa mzungu mmoja naye aliuliwa kwa bunduki. Wazulu walikufa kama kumbikumbi.
Wahindi wekundu walipoona wazungu wanawazidi nguvu na wao wakaamua kutafuta bunduki. Kidogo hapo ndiyo waliweza kusurvive. Kwanini tulichelewa sana na hali tumeanza biashara na waarabu na wareno miaka ya 1500 huko.
Kitu kingine ni kwanini hatukuadapt matumizi ya farasi. Farasi ilikuwa ni kitu muhimu sana vitani. Tena hawa wameanza kutumika hata Yesu hajazaliwa. Nini shida wabantu hatukuadapt? Jamii karibu zote ulimwenguni ziliadapt farasi.