[emoji872][emoji872]nimeiona hiyoMkuu unamaanisha kuwa mtoto wa kwanza kwenye familia kuna vitu unakosa coz wazaz bado ni lena kwenye kulea au unamaanisha nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Inanikatisha tamaa hakiananiMkuu binafsi namuogopa sana mama mzaz najua umuhimu wake ndio maana mama akikuachia maana hutoboi hata kidogo la hasha si kwamba baba hana umuimu kwenye malezi naye anao but kumfikia mama bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha,, watoto wa ugali kisamvu ni shida kweli kweliUkiwa mtoto wa kitajir hapo labda sawa,
lakin kwa sisi watoto wa ugali kisanfu, ni fujo mwanzo mwisho,
wasipo kununulia nguo za sikukuu ni kusema ******* wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh mkuu labda wamama wa zamani hawa wa simu janja sidhani asubui tu anakukimbiaHata maisha yalipokuwa magumu mama akukimbia
Mkuu vitu vingine huwezi vikwepa ukishakuwa wa kwanza sema nyie wa kwanza lawama zote za kwenu nimejionea live bila chenga kwenye familia yanguUkikua napo balaa lipo pale pale labda upate kazi mapema.
Mimi nilipokua nafanya kazi mwanzon, yani sikua nasumbuana na mtu,
Nilipo rudi chuo alafu nikaja kukaa home kutafuta kazi tena, ilikua ni balaa la nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo tunawapenda hawa wazazi wetu wa kike lakini ndio chanzo cha maadili maovu, ndo maana mtu akifanya kitu kisicho na maadili utasikia watu wanadai kakulia ktk mji wa kisimbe!!Ukiwa mtoto wa kitajir hapo labda sawa,
lakin kwa sisi watoto wa ugali kisanfu, ni fujo mwanzo mwisho,
wasipo kununulia nguo za sikukuu ni kusema ******* wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vitu vingine huwezi vikwepa ukishakuwa wa kwanza sema nyie wa kwanza lawama zote za kwenu nimejionea live bila chenga kwenye familia yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila asilimia kubwa ya mababa wa kiTZ sisi huwa chanzo kikubwa cha kuharibu familia kwa matendo yetu.katika utafiti wangu nimegundua mambo machache ambayo yanafanywa na wa mama wengi, ambayo hupelekea watoto wengi kumpenda zaidi mama kuliko baba..
1:-wazazi wengi wa kike wamekua na silika ya kufanya kila kitu kwa mtoto kwa kuwaonyesha watoto zao kuwa wana huruma ya kumjali sana mtoto kuliko mzazi wa kiume, eg utasikia mtoto anaambiwa pale anapokosea "kama baba yako angekuwepo hapa leo ungepigwa sana".
2:-Wanaume wengi tumejisahau sana kutimiza wajibu wetu kama baba, yaani tumesahau kuzungumza na watoto wetu kwa kujifanya tupo serious na kazi sana, mwisho hata linapokuja suala la mtoto kuhitaji mahitaji yake kama ada,nguo, na mahitaji mengine kwa ujumla mama ndiye atakae onekana katoa pesa hata kama zimetoka kwa mwanaume, hali hii huwajengea dhana watoto kuwa kumbe baba hatujari ila kwa juhudi za mama ndo maana tunapata mahitaji, wa mama nao pasipo haya husema " baba yenu yupo busy na wanawake wala hana time na familia, nishukuruni mimi mama yenu nisingekuwa mimi hata sijui mngekuwa wageni wa nani.
3:-Wanawake wengi wamekuwa kama mwiba kufitinisha kati ya watoto na BABA zao, eg unakuta wazazi wa kike aliachana na mumewe kwa fumanizi, lakini atakopo ulizwa na wanae kwa nini mlitengana na baba, ataanza kujenga hoja za uhasama kwa kudai, baba yenu alikuwa ananitesa, nashinda na kulala siku3 pasipo, kula yeye yupo busy na wanawake zake wakila raha, nilikuwa nampenda sana baba yenu lakini alinifukuza mchana kweupe kama mwizi, yaani namchukia sana baba yenu mimi..
NOTE:Kwa haya machache hivi kuna mtoto gani atakae mpenda baba kuliko mama, wazazi wa kike punguzeni visasi, wanaume tunawapenda sana watoto zetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itabidi siku utoe uzi wa watoto wa kwanza ili tujadili kiunaga ubagaSisi watoto wa kwanza nao ni nani.
Tunafanya yetu
Hatuelew ni ubishi mwanzo mwisho, yan tumekula mavi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi but ao wamama unaowazungumzia wa zamani sio hawa wa chipsi mayai mishikaki kutwa yupo bize na smartphone mpaka anaunguza mbogaMama is everything [emoji519][emoji519]upendo wake haufananishwi na kitu chochote,,,,,That why mm Tee nipo,,,,angeweza kuitoa mimba yangu kama wadangaji wa Leo but she didn't.""love u mama [emoji519][emoji257][emoji257]""
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh mkuu labda wamama wa zamani hawa wa simu janja sidhani asubui tu anakukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh lakini maneno yako yana ukwelIla asilimia kubwa ya mababa wa kiTZ sisi huwa chanzo kikubwa cha kuharibu familia kwa matendo yetu.
MFANO:
1.Ulevi uliopindukia na kumuacha mke akipambana na lishe ya watoto(WATOTO WANAKUA WAKILIONA HILO)
2.Michepuko inayopelekea baba kuhama kabisa nyumbani.Mama anakomaa na watoto mpaka watoto wanasoma kwa shida.WAKIFANIKIA USIWALAUMU.
3.Kujifanya wakali kama kuku wenye watoto yaani unakuta baba ni mlipaji wa ada na kila kitu kwa mtoto lakini hana desturi ya kuwa karibu na mtoto wake yeye lugha yake ya kuwasiliana na watoto ni kufoka na fimbo.KWA NINI MTOTO ASIMPENDE MAMA ZAIDI.
Sent using Jamii Forums mobile app
MunguNi kweli lkn dhima hizi tumekalilishwa, ivi anaeifanya familia ipate kuishi ni nani!!?
Sent using Jamii Forums mobile app