Kwanini watu wanavaa saa mbovu/zisizo na majira?

Kwanini watu wanavaa saa mbovu/zisizo na majira?

Ama umetugusa wengi yawezekana nawe upo kundi letu
 
Napenda kuvaa saa kama urembo ila sipendi kuvaa saa ambayo haina majira.
Kama haina siivai kabisa mpaka niiweke betri ila cha ajabu ukiniuliza saa au nikitaka kujua muda natumia simu na ndio nishazoea.
Labda kama simu nimeweka mbali ndio ntakumbuka nimevaa saa.
Siku hizi nadhani imekuwa kama fashion plus umiliki wa simu saa imegeuka urembo.
 
tehe tehe tehe tehe hivi bado wapo wale wanaowekega peni kama tano kwenye mfuko wa mbele wa koti?
Kuna mzee huwa ananichekesha sana.
Kwenye mfuko wake wa koti/shati huwa anachomeka kalamu kama tano au nne na zote za rangi tofauti.
Kwenye kola ya shati anaweka kitambaa eti shati lisichafuke yaani nikiangaliaga hii nakumbuka ule utoto wa primary.
Wakati mwingine tunazeeka vibaya kwakweli.
 
TEHE TEHE TEHE TEHE SWAGA ZINGINE BWANA
 
Back
Top Bottom