Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
- Thread starter
- #61
Kama umezoea kuvaa saa hata ikiharibika unajikuta unaivaa kwa mazoea. Saa yangu sasa hivi inafanyakazi ila nilishaivaa ikiwa mbovu zaidi ya mwezi kisa betri.
Sure, na hii inasababishwa na uwepo wa mbadala wa kujua majira.
Maana kipindi hakuna simu isingekuwa rahisi kukaa na saa hata wiki ikiwa ni mbivu na unaivaa.