Kwanini watu wanavaa saa mbovu/zisizo na majira?

Kwanini watu wanavaa saa mbovu/zisizo na majira?

Ugonjwa wa wengi huu. Nina Seiko yangu ya dhahabu huu mwaka wa nne haifanyi kazi lakini kila siku iko mkononi na kwa mwaka lazima niipeleke kusafishwa kwa sonara. Hata sijui ni kwa nini bado naivaa japo inang'ara kweli kweli na "nice watch" za hapa na pale huwa naambulia [emoji23][emoji23][emoji23]

hhahahahahahahqahah nimecheka kwa sauti, na wadada kwa kusifia mh! tehe tehe tehe tehe tehe 😀😀
 
saa yangu huwa inasema ukweli mara moja tu kwa siku.
Angalizo usikubali mtu akuite saa mbovu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Bro utafiti wako ni sahihi
tena takwimu zipo chini
nilipo kati ya watu 10
7 saa zao urembo!

Yaani toka ni note hii kitu nimekuwa kila nikiona mtu kavaa saa najitahidi kucheck kama iko sawa majira, najikuta naona saa kibao watu wamevaa zimepiga stop.
 
Simu INA onesha mda; Ubungo kuna SAA, feri kuna SAA, nyumbani kuna SAA, ofisini kuna SAA ,Posta kuna SAA, kooote ukipita utaona SAA, GARI inasaa, daladala inasaa!....YA MKONONI INATIA UVIVU SANA ndio maana mafundi SAA wengi wamegeuka SHOE SHINER TU
Mwendo kasi ina saaa
 
hahahaha as am typing this nimevaa saa mbovu mweeeeee ugonjwa wa wengi
 
hahahaha as am typing this nimevaa saa mbovu mweeeeee ugonjwa wa wengi

Dah mimi sikumbuki kama nilishawahi kuvaa saa, make hata enzi za shule ya msingi nikiwa na saa naichomoa mikanda saa inakaa mfukoni.
 
Peleken kwa mafundi ili nao wapate kula mkivaa izo mbovuuu watafunga ofis zao loh

Umenikumbusha, enzi hizo kulikuwa na mafundi saa na radio, tena unakuta kuna jamaa wanaaminika balaa kwa ufundi na wanapiga bei kweli.
 
nimecheka kweli coz hata mimi nimevaa mbovu....sioni umuhimu wa kuitengenezesha maana nikitaka kujua muda naangalia kwenye simu, na ninapenda kuzivaa kwa sababu ni saa nzuri za kijanja zinaupendezesha mkono
 
Back
Top Bottom