Kwanini watu wanaipenda pombe?

Kwanini watu wanaipenda pombe?

Wakuu habari
Naomba kufahamu katia unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhis vibe fulani, ndio vinawaletea mumkali?

Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali.

For user only🔥
Mimi nakunywa pombe tamu tamuu..

Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.

Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa

Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..

Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...

Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..
 
Mkuu kwahyo suala la ladha lina matter ?
 
Sasa unabishana na mawazo yangu, unafikiri ni kitu gani sasa tofauti na uchawi toa ufafanuzi.
Hujui kitu kwenye mambo ya pombe nimekupa LIFE BAN..

NIWEKE WAZI MIMI NISINGE KUNYWA POMBE MAANA MPAKA NAMALIZA CHUO KIKUU SIKUWAI KUNYWA..

MIMI NAKUNYWA RESPONSIBLE TENA JIONI BAADA YA KAZI NAFANYA RECREATIONAL KWA KUNYWA KONYAGIIII NDOGO MOJA NA MIX NA TONIC WATER SIZIDISHI THEN NAENDA ZANGU NYUMBANII KUJUMUIKA NA FAMILIA..

POMBE HUFANYA NIWE VERY HIGH KIAKILI , MAWAZO,UTENDAJI, BUSARA NA HATA KUPANGA MADILI YA MAISHA NA BIASHARA..

SISI WENGINE POMBE ZIPO KWENYE UKOO BABA ENGINEER MPAKA KASTAAFU HAJAWAI KUHARIBU KAZI KUGOMBANA AU KUSHINDWA KULEA FAMILIA TUNAKULA, LALA, SOMA VIZURI WATOTO WOTEEEEEEE

KILA MTOTO ALI MJENGEA NYUMBA YAKE NA ALIKUA ANAKUNYWA KILA SIKU..ASIPO KUNYWA ALISEMA HAPATI USINGIZII..

KWA SASA AGE GO HANYWI KABISA USHAUR WA KITABIBU YUPO ANAKULA PENSION WANAINJOI NA MKEWE MPAKA MUDA HUU SO POMBE ZIPO NA WAPO WANAO ZIMUDU

UKIONA HUWEZI POMBE ACHANA NAZO MAANA SIO KILA KICHWA KINA UWEZO WA KUMUDU ALCOHOL
 
Mimi nakunywa pombe tamu tamuu..

Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.

Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa

Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..

Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...

Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..
Nakutafuta bila mafanikio, familia yako haijambo? Vipi kuhusu wewe bruh

Smirnoff ni za kiume kumbe 🤔
 
Back
Top Bottom