Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,781
- 11,658
kakutana na wabongo wanatoa shombo tuVip kuhusu ndoto yako ulishapata majibu?
kakutana na wabongo wanatoa shombo tuVip kuhusu ndoto yako ulishapata majibu?
pande mbili wanapokuwa hawaelewani kila mtu anataka aonekane mshindi hakuna kingine cha muhimu.lakini kwanini wanagombea hasa , wanataka kupata baraka , au wanataka mali ama ni masuala ya kishirikina ?
miminimkulimaakachekasanaHukwu kwetu wanainchi tunashirikiyana sana kwnye mambwo yote ya musiba na usipoenda utapingwa fahini au wanachukuwa kuku mbuzi?
nililenga kugombea kuzika mwili wa marehemuMleta mada swali lako lina utata wa kueleweka kama ulivyolenga kupata majib, utata wa kwanza kugombea mwili wa marehemu ama ya pili kugombea wakat wa kwenda mazishini na shughuli nzima ya kuzika. Mi binafsi niko sehemu ya pili yaani mtu unapokea jeneza kabla hujapiga hata hatua mbili mwingine kaja kukunyang'anya Na wakati wa kufukia ndivyo hivyo hivyo hata chepe mbili hujafikisha umenyang'anywa ila nionavyo ni ushirikiano tu ili shughuli ya kizika iwe nyepes ambayo haifanyi mtu achoke kwa kupoteza nguvu.