The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure kabisa.
Walio oa hutuona sisi ambao hatujaoa kua tunagumia gharama sana kupata tendo au kula tunda, wanasahau kua hapa Duniani there is ain't no such thing as a free lunch (free nyapu).
Mwanamke yoyote Duniani hakuli nyapu bila kua na uhakika kua utamtimizia mahitaji yake. Women only give sex to get their basic needs. Sisi tunaonunua na nyie mliooa wote we pay for sex, sisi ambal hatujaoa we pay for take aways nyie mliooa mnalipa full time ila factor ni moja tu, tunapewa pale tunapohakikisha mahitaji yao tametatuliwa au yatatatuliwa.
Hua nashangaa mtu ananiambia, ukioa unapata nyapu bure, wanasahau kua hakuna mwanamke Duniani anatoa nyapu bure, hayupo. Hata vile mwanamke amapokubali kuolewa na wewe ni ana uhakika kua utamtimizia mahitaji yake ya msingi, utagharamia na kuilipia nyapu yake.
We all pay for sex in one way or another. Sex is pricey. Mliooa mnalipia sex in both cash and in efforts, sisi bachelors we only pay cash for sex.