mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Hivi hili suala linakaaje maana ukisema kuwa hawafanyi kazi nakataa kwa sababu wengi wao ni watu wa kujishughulisha sana hasa katika suala zima la biashara.
Lakini licha ya kujishughulisha huko watu hawa wanabaki kuwa na maisha magumu na ya chini au wanashindwa kabisa kujikomboa katika maisha magumu. Tatizo ni nini wakuu lipo wapi kwa watu wa pwani walio wengi?