Kwanini watu wa Bongo Muvi na Bongo Fleva wanatumika kama mabalozi wa Royal tour?

Usimuusishe jpm kwenye upumbavu wako, unataka kusema awamu ya nne wasanii kama wakina diamond walikuwa hawatumiki kisiasa!?
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?
Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.
Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!
Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujingaView attachment 2205641
Kwa nini unasema ushamba wa awamu ya tano? Unadhani mawazi yako yana maana sana.?
 
Bado naona hii issue ya ubalozi ni petty issue tu, Ni sawa na kipindi kile watu walivyokomalia Steve kuteuliwa sijui kuwa Msemaji. Aaarrghh sio issue ambayp jamii ilipaswa kukomaa vile ,ikiwa Kuna report ya upotevu wa mabilioni iliyopaswa kukomaliwa.

Kama hapo juu kuna hiyo habari ya Tanesco kupiga hiyo bil 60, hapo ndio jamii inapaswa ikomalie kujua imekuwaje.
Actually mambo ya kijinga kabisa.
Watu wasion na vision should take up our time.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?
Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.
Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!
Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujingaView attachment 2205641
Ni mambo ya kijinga tuu ya magazeti uchwara
 
Hoja yako ni nzuri, na ingependeza zaidi kama usingehusisha hicho kilichofanyika na awamu ya tano, sidhani kama hayo yalikuwa yakifanyika awamu ya tano tu.
 
Hivi kuna ujinga au uovu gani ambao haukufanyika awamu ya Jiwe?
 
Mwambie mamako awafyeke sasa! Au anasubiri nini?
Sina ukaribu na Mama wala cheo au kazi yoyote serikalini. Kama atasoma hapa basi inatosha. Mama toa sukuma gang wote kwenye system, watakuharibia kwa ushamba wao na umasikini.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Mastaa wa bongo movie hawana uwezo wa kufanya mambo ya kisomi. Ndio jamii tuliyonayo kwa sasa, ujanja ujanja mwingi na mtu ndio anakuwa staa maarufu.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Ndege wafananao huruka pamoja.
Usiwalaumu mabalozi hao, kuna waliokuwa wanapendekeza au hata kuwateua. Serikali ni kubwa.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

View attachment 2205641
Kwani kuwa balozi lazima uwe na utaalamu wa hiyo fani ?...mbona huko duniani watu maarufu hasa wacheza filamu, wanamichezo, Wana muziki hupewa ubalozi mfano wa kupambana na malaria, kupinga ujangili n.k

Kwanini kwa bongo iwe tatizo?
 
Back
Top Bottom