Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

Subiri uumwe ulazwe ndo utafahamu

Watu wanaumwa hawajiwezi lolote lile unakua kama mtoto mchanga ukogeshwe uvishwe pampers na uvuliwe dah maisha haya kama hujafa hujaumbika
 
Back
Top Bottom