Kwanini watu hupigia kelele ushoga tu na kusahau makundi haya?

Hakuna kitu kibaya km kukutana na mwanamke aliezoea kupitishiwa nyuma huyo hawez ridhika na dushe mpk upitishe huko bakbenja sas hapo utakuta akili ya kichwa cha chin ndio kinafanya kaz peke....aseh inataka ujasiri sana kugoma

Kadri miaka inavyozidi ndivyo idadi ya wanawake walioingiliwa nyuma inazid kushamiri
 
Ila kitu ambacho na kiona kadili tabia ya kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake inavyokuwa ndivyo mashoga wanavyo ongezeka.

Ndio maana siku hizi husimwamini yoyote,mtoto wako ni jukumu lako kumlea na kumkuza kitabia, siku binadamu wachache sana.
 
Na siku hizi kuna wadada wa umri fulani wa maeneo fulani ambao iawajawahi kupitishwa mtarimbo ni wa kutafuta na tochi
 
Habari!

Kuna makundi 2 kama si 3 yamesahaulika ingawa wanachokitenda hakina utofauti na ushoga.

1. Wanawake wenye tabia za kiume
Hili kundi limekuwa kubwa sana na linakua kwa kasi. Vibinti vinavaa suruali, t-shirt, na nguo zingine za kiume. Hawa hata misibani hawakai kwa wanawake wenzao. Wanaboa sana hawa watu.

2. Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile
Hili halina utofauti na ushoga, tena yawezekana ni baya zaidi ya ushoga, maana njia ya kuwaingilia ipo ila mwanaume aidha kwa tamaa yake au tamaa ya mwanamke wanaiacha ile njia na kubuni njia yao. Jamii hawalichukulii kwa uzito kwakuwa ni wanawake, maana wanaume ndio wapiga kelele.

3. Usagaji
Hili suala pia ni tatizo kama ushoga ila kwakuwa linafanywa na wanawake basi halipigiwi kelele. Mapenzi ni baina ya jinsia 2 tofauti na si vinginevyo.

Je, jamii imezibagua hizi dhambi na kuzicategory?

Je, jamii imejaa unafiki kwa kuibariki dhambi hii na kuikemea dhambi ile?

Ushoga ni mbaya tena sana, unaondoa utu wa mtu ila hauna utofauti na usagaji na hawa mabinti sijui mnawaita ma tomboy ambao wanaikimbia jinsia yao.
Hiyo namba mbili; Wanawake wanapenda pesa za wanaume kuliko kufanya kazi, acha wafi..r..we tu. Na mimi nasema muwa..fi..re tu, maana ndicho walichokichagua.
 
Back
Top Bottom