Kwanini raia wa Palestina wasisaidie kufichua Hamas ili vita iishe kwa muda?

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,024
3,585
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Nipo hapa leo naangalia Al-Jazeera ikiwa imepita miezi zaidi ya Miwili sasa kwanzia mapigano haya ya IDF na wanamgambo wa HAMAS kuanza mnamo Tarehe 7 mwezi wa kumi.

Ni wazi kwamba wote tunaona na Ulimwengu unashuhudia kuwa wanaoumia zaidi na kupata hasara kubwa ni Raia wasio na hatia wa PALESTINA Hasa wanawake , Watoto na wazee. Kwa kweli IDF moto anaoupeleka sio wa mchezo. Yaani ni anawapiga kwelikweli bila ya huruma.

Lakini ndugu zangu mtakuwa mashahidi pia kwamba na Sisi watanzania Tumeumizwa sana baada ya kusambaa kwa video inayosemekana , Narudia Tena INAYOSEMEKANA au INAYODHANIWA kuwa ni ya Mtanzania Mwenzetu Joshua Mollel aliyekuwa mafunzoni Israel akiuwawa Kikatili sana na watu wanaosadikika kuwa ni wanamgambo Wa HAMAS (The Images are very much Disturbing)

Nikiri kwamba mwanzoni mwa Vita hii sikuwa Upande wowote kwani mimi ninachokiona kuwa suluhu ya Mgogoro huu ni TWO STATE Solution na pia nilikuwa nawaona HAMAS na kuwafananisha na Wapigania UHURU kama ambao tumeshuhudia kwenye nchi zetu mbalimbali za Africa wakifanya Armed struggle na wakafanikiwa kukomboa nchi zao. Lakini kwa Video hii inayosambaa Imebadilisha mawazo yangu kabisa, Kila saa najiuliza kwani kijana yule ana makosa gani? Kijana yule sio myahudi kwanza ni mweusi kabisa, je amewakosea nini Wale watu mpaka kumuua kwa namna ile?? Kwa kweli myenye majibu anisaidie.

Sasa basi, Kwa kuwa hawa watu wanaoitwa HAMAS wanasababisha matatizo makubwa sana kwa wapalestina na pia hata sisi watanzania wametugusa, Kwanini Raia wa PALESTINA wanaoteseka kama wanawajua walipo si wataje tu wakakamatwe au wakapigwe?

Hivi kweli inamaana watu wa PALESTINA pamoja na mateso yote wanayoyapata bado wameamua kuwaficha hawa watu? Maana Raia hawa wa PALESTINA Wanapata adhabu kutokana na madhila waliyoyafanya hawa jamaa ya Tarehe Saba October, Wao kama wanawajua walipo wawataje Mateka waachiwe, angalau vita isimame kwa muda kwanza watu warudi mezani kujadiliana. Ninaumia sana nikiona jinsi watoto wadogo wanakufa na kuumia , Yaani mtoto mdogo maskini ya mungu unakuta amekatika miguu, mara mtoto kakatika mkono. Hii inaniuma sana kila nikiona namuwaza mtoto wangu na watoto ninaowajua wa hapa tanzania nakuwa naumia sana

NB: Ninajua kwamba kabla ya Tarehe 7 mwezi wa kumi bado wapalestina walikuwa wanateseka, Hivyo tafadhali msianze kunipa historia ya mashariki ya kati maana naifatilia, mimi ninachoongelea hapa ni kwanzia 7th October 2023.

Nawasilisha

Ni mimi Srinavas Yoghendra Chintalapati kutoka Indhira Gandhi Street Dar es salaam.

PXL_20231216_222026545.MP.jpg
 
Kwanza huwa wanawaona ni wakombozi wao, wakiwachomea utambi hushughulikiwa. Ni wapuuzi, wangekaa kwa amani na israel, wangechoreana ramani ya maeneo yao wakaishi kwa amani maisha yao yote. Kwa mawazo ya kijinga wanaamini ipo siku wataifuta israel kwenye ramani ya dunia na wao kutawala israel yote
 
Pole sana
 
View attachment 2845855
Nachukia ugaidi
Lakini Hamas sidhani kama ni magaidi kama inavyosemwa.

Tukemee uchokozi na ulipizwaji visasi
 
Wenyewe wanasema HAMAS ni ideology ilio beba idea ya ukombozi kwa wapelestina.

So kufuta HAMAS itabidi uue wapalestina wote
Sasa Idea gani ambayo inawatesa wenyewe namna hiyo?? Hivi mkuu unafatilia kweli ukajionea mambo yanavyokwenda huko
 
Tuwe na Huruma Jamani, Hawa watu pamoja na kupigwa bado wananyimwa chakula
PXL_20231218_112226305.MP.jpg
 
Israel is Limiting Palestinian people access to Food.

Sasa kama huyo mama wa watu hapo amekosa nn jamani
PXL_20231218_112212535.MP.jpg
 
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Nipo hapa leo naangalia Al-Jazeera ikiwa imepita miezi zaidi ya Miwili sasa kwanzia mapigano haya ya IDF na wanamgambo wa HAMAS kuanza mnamo Tarehe 7 mwezi wa kumi.

Ni wazi kwamba wote tunaona na Ulimwengu unashuhudia kuwa wanaoumia zaidi na kupata hasara kubwa ni Raia wasio na hatia wa PALESTINA Hasa wanawake , Watoto na wazee. Kwa kweli IDF moto anaoupeleka sio wa mchezo. Yaani ni anawapiga kwelikweli bila ya huruma.

Lakini ndugu zangu mtakuwa mashahidi pia kwamba na Sisi watanzania Tumeumizwa sana baada ya kusambaa kwa video inayosemekana , Narudia Tena INAYOSEMEKANA au INAYODHANIWA kuwa ni ya Mtanzania Mwenzetu Joshua Mollel aliyekuwa mafunzoni Israel akiuwawa Kikatili sana na watu wanaosadikika kuwa ni wanamgambo Wa HAMAS (The Images are very much Disturbing)

Nikiri kwamba mwanzoni mwa Vita hii sikuwa Upande wowote kwani mimi ninachokiona kuwa suluhu ya Mgogoro huu ni TWO STATE Solution na pia nilikuwa nawaona HAMAS na kuwafananisha na Wapigania UHURU kama ambao tumeshuhudia kwenye nchi zetu mbalimbali za Africa wakifanya Armed struggle na wakafanikiwa kukomboa nchi zao. Lakini kwa Video hii inayosambaa Imebadilisha mawazo yangu kabisa, Kila saa najiuliza kwani kijana yule ana makosa gani? Kijana yule sio myahudi kwanza ni mweusi kabisa, je amewakosea nini Wale watu mpaka kumuua kwa namna ile?? Kwa kweli myenye majibu anisaidie.

Sasa basi, Kwa kuwa hawa watu wanaoitwa HAMAS wanasababisha matatizo makubwa sana kwa wapalestina na pia hata sisi watanzania wametugusa, Kwanini Raia wa PALESTINA wanaoteseka kama wanawajua walipo si wataje tu wakakamatwe au wakapigwe?

Hivi kweli inamaana watu wa PALESTINA pamoja na mateso yote wanayoyapata bado wameamua kuwaficha hawa watu? Maana Raia hawa wa PALESTINA Wanapata adhabu kutokana na madhila waliyoyafanya hawa jamaa ya Tarehe Saba October, Wao kama wanawajua walipo wawataje Mateka waachiwe, angalau vita isimame kwa muda kwanza watu warudi mezani kujadiliana. Ninaumia sana nikiona jinsi watoto wadogo wanakufa na kuumia , Yaani mtoto mdogo maskini ya mungu unakuta amekatika miguu, mara mtoto kakatika mkono. Hii inaniuma sana kila nikiona namuwaza mtoto wangu na watoto ninaowajua wa hapa tanzania nakuwa naumia sana

NB: Ninajua kwamba kabla ya Tarehe 7 mwezi wa kumi bado wapalestina walikuwa wanateseka, Hivyo tafadhali msianze kunipa historia ya mashariki ya kati maana naifatilia, mimi ninachoongelea hapa ni kwanzia 7th October 2023.

Nawasilisha

Ni mimi Srinavas Yoghendra Chintalapati kutoka Indhira Gandhi Street Dar es salaam.

View attachment 2845855
Uzalendo kwanza ndugu🤔
 
Miezi miwili sasa wanauliwa. Sapoti wanayopata ni ya kwenye key board ,kuanzia huku Bongo mpaka, kwa waarabu wenzao.

Wasipotumia akili wataendelea kufa. Namba inakaribia elfu 20 waliokufa pekee achilia mbali majeruhi waliokatika viungo huku hata matibabu hakuna.

Hakuna wa kuifuta Israel katika ramani.

Vita haisimami mpaka malengo matatu ya Israel yatimie.
Lissu kqdandia hii issue kutafuta sapoti yake iliyofifia. watu wanasema Israel haikuwepo enzi za torati je Tannganyika ilikuwepo? Marekani ilikuwepo? Wanashindwa kujua haya ni majina tu lakini vipande vya ardhi vilikiwepo.

Ngoja waendelee kupambana tuone nani ataibuka kidedea.
 
Sasa mkuu.
Kwanza angalia tu waislamu wa bongo hapa pamoja na mtz mwenzetu kuuliwa kikatili.
Ila bado jamaa wanawatetea hao hamas.
Hilo unalosema haliwezekani,Israel bora iendelee kupiga upanga kufyeka magaidi yote.
 
Kwanza huwa wanawaona ni wakombozi wao, wakiwachomea utambi hushughulikiwa. Ni wapuuzi, wangekaa kwa amani na israel, wangechoreana ramani ya maeneo yao wakaishi kwa amani maisha yao yote. Kwa mawazo ya kijinga wanaamini ipo siku wataifuta israel kwenye ramani ya dunia na wao kutawala israel yote
Watu walikuja kama wakimbizi leo hii wenyeji waliowapokea ndio wamegeuka wakimbizi.
Screenshot_20231218_141320_Google.jpg
 
Kwanza huwa wanawaona ni wakombozi wao, wakiwachomea utambi hushughulikiwa. Ni wapuuzi, wangekaa kwa amani na israel, wangechoreana ramani ya maeneo yao wakaishi kwa amani maisha yao yote. Kwa mawazo ya kijinga wanaamini ipo siku wataifuta israel kwenye ramani ya dunia na wao kutawala israel yote
Israhell mazayuni yale yakae kwa amani nanani mauaji makubwa yale
 
Mleta mada pamoja na kuruka ruka kwao tumeujua upande wako
Pia kama idf wanapeleka moto hapo unataka raia wawasaidie nn idf wakati wanapeleka moto
Hangaikeni uweni wapalestine mtakavyoua ila suala la kuitokomeza hamas mulisahau abadan
 
Back
Top Bottom