Huo ndio ukweli.Kwaiyo wapiga kura ni ccm na vyama vingine ahaa
Tupige za kazi gani wakati polisi na wakuu wa wilaya ndio wana amua Ccm wachaguliwe hata kama wameshindwa? Ccm waende wakapige kuraNajua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamshaa ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizooo
Tatizo hamna uchaguzi halali.. Polisi ndio wana amua Ccm watangazwe hata kama wameshindwaNajua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamshaa ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizooo
Hata mimi siwezi kwenda kujiandikisha wakati tuna watu waliolewa madaraka na hawajui hata maana ya uchaguzi.
Unawasingizia polisi wao hawahusiki na kutangaza mahindiTatizo hamna uchaguzi halali.. Polisi ndio wana amua Ccm watangazwe hata kama wameshindwa
Hata mimi siwezi kwenda kujiandikisha wakati tuna watu waliolewa madaraka na hawajui hata maana ya uchaguzi.
Hata 2020 hali itakuwa ni hii hii na huenda ikawa mbaya zaidi.Huo Uchaguzi haujawahi kuwa mzuka
Wameshajua hakuna upinzani tena Saccos tayari imeshakufa kifo cha mende! Mbendembende!Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.