simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Unafiki wa viongozi wetu umeuwa uzalendo.
Tanzania ilikuwa bora na bado ni nchi bora hata sasa na itaendelea kuwa bora zaidi. Uzalendo ni asili ya m-Tanzania, popote ulipo jivunie nchi yako. Tanzania ndio nchi bora zaidi kwa kila m-Tanzania mzalendo. Usikubali mtu aitukane nchi yetu Tanzania.mimi ni mzawa haswa wa hii nchi!huenda nchi hii ilikuwa bora kabla sijazaliwa,hii ni kwa sababu tangu nizaliwe sijawahi kuona lolote la kufurahisha,hebu jiulize,ni raia wangapi wakimuona polisi au mtu yeyote mwenye wadhifa kwenye dola huogopa?kwanini iwe hivyo?
KENZY vyote ukivyovitaja hapo vinafuraha sana endapo uzalendo utakya ndani ya kila mTz swala tufanyeje!! Turudishe uzalendo kwa kizazi hiki na kijachohakutakuwa na uzalendo kama hakutakuwa na viongozi wazalendo...
angalia swala la madini toka mwaka 98! na hapo kuna mambo kedekede tu rushwa,ubinafsi,upindishwaji wa sheri + sheria kutofuatwa,ukandamizaji wa maskini... hlf uje uniambie niwe mzalendo! utanisaidia nini huo uzalendo mahali pasipo na wazalendo..?
huku mtaani mimi nijifanye mzalendo huko majuu wanapiga mpunga tu wa maana huo utakuwa uzalendo au uboya!
mkuu kawafundishe viongozi kwanza kuwa wazalendo hlf ndo uje kwetu ndo itakuwa rahisi maana kama nikujisifia nitajisifu kwani nchi itakuwa na wazalendo ambao najua zile sifa mbaya zitakuwa zimekoma! hivyo nitakuwa mzalendo hata kuipeperusha bendera ya nchi yangu kwani najua kodi yangu,kiwanja changu vipo salama,huduma za kijamii zipo gud everything kipo gud.. hapo nisipoipeperusha bendera yangu nitastahili kuitwa gaidi!
Si kwamba watu tunaichukia hii nchi!bali walioshika hatamu za uongozi ndio tunawachukia hasa!naamini hakuna mtanzania ambaye atamvumilia mtu yeyote aitukane nchi hii!mapenzi na nchi yapo kwa karibu kila mtu.Tanzania ilikuwa bora na bado ni nchi bora hata sasa na itaendelea kuwa bora zaidi. Uzalendo ni asili ya m-Tanzania, popote ulipo jivunie nchi yako. Tanzania ndio nchi bora zaidi kwa kila m-Tanzania mzalendo. Usikubali mtu aitukane nchi yetu Tanzania.
Je katika harakati zako za kimaisha umezungukwa na kundi gani!? Viongozi wazalendo,vijana wazalendo au wazalendo binafsi naona hakuna hicho kitu nchini kwetu kimekosekana kabusaUkishaathiriwa na siasa za vyama utaona uzalendo haupo, ila uzalendo upo. Tunaipenda Tanzania bila kujali siasa za nchi zikoje kwa sababu ndio nchi yetu. Silaha ya kukomesha upumbavu wa wanasiasa ni kuwa mzalendo tu. Popote ulipo jivunie u-Tanzania, waambie watu wewe ni m-Tanzania, tembea kifua mbele. Tuna mlima mrefu wa kipekee mlima Kilimanjaro, tuna mbuga kubwa za wanyama, tuna maziwa na bahari, tuna ardhi ya kututosha yenye rutuba, tuna mito na hifadhi kubwa za misitu nk. Hakuna kama Tanzania, uzalendo ndio asili yetu. Proud TANZANIA.
Upendo wa maslahi sio upendo wa kweli. Hatuwezi kuacha kuwa wazalendo kwa sababu hatufaidiki na tulivyonavyo. Kama kuna wanaosababisha kwa makusudi tusinufaike basi ni uzalendo pekee ndio utakaowatokomeza hao wahujumu na si vinginevyo.Huo mlima umekufaidisha nini wewe binafsi?bahari na maziwa yamekufaidisha nini?kama hakuna ndugu yako ambaye aliwahi/ni kiongozi serikalini sahau kunufaika na hivyo vitu!mfano mzuri hebu angalia chuo cha usimamizi wa wanyama pori namna ada zao zilivyo kubwa,unafikiri wamemlenga mtoto wa masikini wa nchi hii?
Kwanini kakaPersonally uzalendo wangu ulipungua sana baada ya mwaka 2015!
Natamani kukupa like 12.ukilelewa ndivyo sivyo huwezi kulea vizuri kamwe. Hii rushwa hii tunawafundisha watoto sisi wenyewe!! Eti nenda shule baba ukifaulu nitakupa hela! Basi nitakupa elfu 2 eeh.Malezi
Wewe tunaongea lugha mojaHuo mlima umekufaidisha nini wewe binafsi?bahari na maziwa yamekufaidisha nini?kama hakuna ndugu yako ambaye aliwahi/ni kiongozi serikalini sahau kunufaika na hivyo vitu!mfano mzuri hebu angalia chuo cha usimamizi wa wanyama pori namna ada zao zilivyo kubwa,unafikiri wamemlenga mtoto wa masikini wa nchi hii?
Mkuu nini kifanyikeNa mwalimu mkuu duniani ni familia,huko utajifunza kuwajibika,kuheshimu,kujali,kuona haya,kuthamini, kutunza na karibu kila kitu. Bila hayo hakuna uzalendo. Mama anapiga hela ya ada,baba anapiga pato la familia na mtoto anakuwa muongomuongo tu..
Funguka dadavua mkuuMuda mwingine serikali inasababisha watu wazalendo
Yapi hayoHilo siyo tatizo pekee,matatizo yapo mengine sana!
Je unafikiri viongozi wako ni wazalendo!?Tanzania ilikuwa bora na bado ni nchi bora hata sasa na itaendelea kuwa bora zaidi. Uzalendo ni asili ya m-Tanzania, popote ulipo jivunie nchi yako. Tanzania ndio nchi bora zaidi kwa kila m-Tanzania mzalendo. Usikubali mtu aitukane nchi yetu Tanzania.
Unahisi ccm ndio sababu kuu ya hii nchi kupoteza dila katika uzalendo!?Nchi hii Uzalendo utarudi Siku CCM ikifa kabisa na kufutika katika uso wa dunia
Bado chakufanyika ni elimu bora tu mkuu,jando na unyago imehusika. Wewe si unaona hizo illusion zilizoko humu ndani?like watu hawajui hata familia bora ni nini,wanadhani ni kuwa Beyonce na Jay Z.Mkuu nini kifanyike
Aisee unaongea kitu chenye mantiki sanaBado chakufanyika ni elimu bora tu mkuu,jando na unyago imehusika. Wewe si unaona hizo illusion zilizoko humu ndani?like watu hawajui hata familia bora ni nini,wanadhani ni kuwa Beyonce na Jay Z.
Viongozi hawakufanyi uwe mzalendo. Uzalendo ni msimamo tu na wala hautegemei viongozi ili uwepo. Viongozi wasio wazalendo wanatokana na jamii yenye ujinga tu lakini mjinga anaweza kuwa mzalendo.Je unafikiri viongozi wako ni wazalendo!?
sina milioni 7 ya kuitwa mchochezi...ngoja nikae kimyaFunguka dadavua mkuu
Sawa tufanyaje turudishe uzalendoViongozi hawakufanyi uwe mzalendo. Uzalendo ni msimamo tu na wala hautegemei viongozi ili uwepo. Viongozi wasio wazalendo wanatokana na jamii yenye ujinga tu lakini mjinga anaweza kuwa mzalendo.