Kwanini waTanzania sio wazalendo!?

KENZY vyote ukivyovitaja hapo vinafuraha sana endapo uzalendo utakya ndani ya kila mTz swala tufanyeje!! Turudishe uzalendo kwa kizazi hiki na kijacho
kwanza tunahitaji kiongozi mzalendo atakaebadili upepo toka hapa ulipo mpk kwenye uzalendo..
kivipi..?
kwa kufundisha watu/viongozi uzalendo na kujua umuhimu wa uzalendo.
kuwepo kwa katiba itakayo adabisha mtu yoyote bila kujali itikadi.
kung'oa mizizi ya uzandiki iliyopandwa sahivi ambayo ndiyo inatukandamiza.
kuwa na chombo cha ulinzi(idara zote za ulinzi) zenye kujua umuhimu wa uzalendo na namna gani wataweza kupambana na wasio wazalendo.. (hawa lzm wajaliwe na wawe na nguvu).
kutoa haki kwa ustahili kwa kila mtu ili kuhamasisha uzalendo ulotukuka.
 
Sababu kubwa ya uzalendo kufa miongoni mwa watz wengi ni matabaka. Na moja ya tabaka kubwa lilopo ni kati ya mtawala na mtawaliwa. Watawala ambao ni CCM wao wanajiona ni bora kuliko wengine, wanajiona wao tu ndio wameumbwa kutawala nchi hii na si wengine.

Unaweza kujiuliza kwanini vitu kama katiba, tume ya uchaguzi ni vigumu kuvibadili? Jibu ni kwamba wanajiona wao ndio wanastahili kutawala nchi hii na si wengine. Sasa ukishaona wewe unastahili kuliko mwenzako basi hapo uzalendo kwa taifa unakufa.

Leo sio ajabu kuona mtu anaomba ACCACIA waende mahakamani kutushtaki tushindwe na tuwalipe fidia kubwa hiyo yote ni ili waone watawala wanashindwa. Chochote CCM itakachofanya hata kama ni kizuri lazima kitapaingwa na hii yote kwasababu ya ubinafsi walio nao wenyewe CCM.

Hapo bado kuna rushwa, uonevu wa raia, umasikini, gap la mtu maskini na tajiri, hivi vyoote haviwezi kujenga uzalendo.

Cha kufanya.

Hao jamaa walioko madarakani waache ujinga wa kuona wao ndio wanastahili peke yao, nchi ni ya kwetu wote hii. Leo hii hata unipeleke jkt nikapate mafunzo ya uzalendo wakati watawala wanatukandamiza haitasaidia kitu, sana sana utakua umeniongezea mbinu za kuwa mualifu. Refer Kibiti kwa hili.

Wanaodai elimu ndani ya familia, namfundishaje mwanangu kuwa uzalendo wakati kabisa anaenda hospital dawa hakuna, shuleni dawati hakuna akirudi nyumbani chakula nacho shida, halafu at the same time anasikia EPA, ESCROW, ACCACIA, RICHMOND nk.
 
Nini maoni yako mkuu
 
Hivi vitendo vinavyofanywa na polisi wetu Je ni vya kizalendo viongozi wetu, madaktari wetu Je kunauzalendo ndani yake? Vipi kuhusu walimu mashuleni!?
Uzalendo ni mapenzi kwa nchi yako. Yaani ni zile hisia za utaifa pale linapokuja suala linalohusisha nchi nyingine. Kwa hiyo uzalendo ni upendo wa kitaifa.
 
Watanzania wengi uzalendo uko midomoni hata huyo anaetuaminisha mzalendo kila siku anapiga kelele kapeleka uwanja wa ndege kwao wakati kuna mikoa mikubwa aina uwanja wa ndege alisema mshahara wake amejipunguzia anachukua milioni tisa kwa mwezi je ni kweli salary slip kuionyesha Acheni maneno ya kudanganya watu Mwalimu Nyerere tu nda alikua mzalendo tu wengine Matumbo muulize mpolepole kuhusu uzalendo
 
Mkuu hilo tatizo lilianzia pale tulipofuta somo la siasa shuleni.tukalibatiza sijui civics,tukabadilisha mitaala yetu,tukaua JKT.Na sisi tukakoma kuwa taifa.
Tatizo mojawapo ni wewe ukihangaika kuijaza ndoo Maji.,mwingine anaitoboa ndoo na kunywa Maji.Na Hafanywi kitu na wewe peke yako huna uwezo wa kumdhibiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom