Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Inategemea anaeniuliza ni nani? Ananiuliza kwanini? Kwani kuna haja mimi nimtajie mtu random tu umri wangu. Kama hamna umuhimu wa kumtajia na akishurutisha basi nitamdanganya.
Kuna maswali ya kiwaki lazima yajibiwe kiwaki. Au mtu anakuuliza wewe kabila gani, ili iweje?
👊👊👊Inategemea anaeniuliza ni nani? Ananiuliza kwanini? Kwani kuna haja mimi nimtajie mtu random tu umri wangu. Kama hamna umuhimu wa kumtajia na akishurutisha basi nitamdanganya.
Kuna maswali ya kiwaki lazima yajibiwe kiwaki. Au mtu anakuuliza wewe kabila gani, ili iweje?
au chama eti wewe chama ganiInategemea anaeniuliza ni nani? Ananiuliza kwanini? Kwani kuna haja mimi nimtajie mtu random tu umri wangu. Kama hamna umuhimu wa kumtajia na akishurutisha basi nitamdanganya.
Kuna maswali ya kiwaki lazima yajibiwe kiwaki. Au mtu anakuuliza wewe kabila gani, ili iweje?
Maelezo yako, ndiyo msingi wa swali la mtoa mada!Inategemea anaeniuliza ni nani? Ananiuliza kwanini? Kwani kuna haja mimi nimtajie mtu random tu umri wangu. Kama hamna umuhimu wa kumtajia na akishurutisha basi nitamdanganya.
Kuna maswali ya kiwaki lazima yajibiwe kiwaki. Au mtu anakuuliza wewe kabila gani, ili iweje?
haisaidii kitu lakini je wewe unaetaka kujua inakusaidia nini?Maelezo yako, ndiyo msingi wa swali la mtoa mada!
Kwanini kuna kigugumizi cha kutaja umri wako linapokuja suala la kutaja umri?
Inasaidia nini kuficha umri wako halisi?
Kabla ya utambuzi wa uhesabu wa muda kwa kalenda, wazee walikuwa wanatumia vipindi kutaja umri wao.kipindi cha Mvua, Nzige njaa nk, na hata majina yao yaliwakilisha vipindi au matukio. Walipokuja wakoloni baadhi ya wasomi wakawa wanaweza kujua umri kwa kalenda, na kujua miaka yao.
Uwepo wa ajira ndio kwa kiasi kikubwa ulisababisha watu kuficha umri ili kupata kazi, yaani kama ajira ikitaka mtu mdogo basi mtu hujipa miaka michache, ikitaka mtu mkubwa naye hujipa miaka mingi
Swala hili la kudanganya miaka lilifanyika kwa muda mrefu kwa lengo la kujipatia ajira ‘white collar jobs’. Lakini kwa sasa kuna swala la vyeti vya kuzaliwa ambalo linaondoa haja ya mtu kuficha umri
Je, unadhani kwa nini watanzania tumeendelea kuficha umri tukiulizwa na watu hata kwenye sherehe ya siku za kuzaliwa?
Kwa hiyo mkuu na arobaini na ngapi?Nilipata totozi moja kali ina miaka 18 ili na mimi nisionekane muhenga nikajipunguza miaka mingine nikawapa TRA hadi nikabakia na miaka 24 tu,mwisho wa siku kuna siku niliacha kitambulisho changu ovyo akaona miaka yangu halisi akajifanya kununa sema kwa vile ulishamkolea hadi leo kaniganda kama ruba