CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,045
Omba sample ya Laptop.
Wakikuletea bure mimi nafunga kula nyama mwaka mzima.
Wizi wakubwa hao.
Hizo gold members uongo mtupu.
Nimewajaribu Supplier watano NA wote ni Gold members.
Hakuna hata mmoja yuko makini.
We km una kampuni yako bubu humo endelea kuwapambia.
alibaba wenyewe kwenye Disclaimer yao wanakwambia WAZI KUWA HAWAHUSIKI NA MATATIZO YYT YATAKAYO TOKEA BAINA YA MUUZAJI NA MNUNUZI.
Sasa hio kauli ya Uhakiki?
We km una mtaji wa Dola 2000 sidhani km utaogopa kuingia kichwa kichwa.
Mimi hamnipati huko hata siku wahedi.
We unasemea sample ya laptop?!!!!..we jamaa! naona unaongelea biashara ya rejareja, kwa taarifa yako ya bure tu binafsi nilishapokea sample nyingi sana kuanzia clone za honda motorbikes, box za spare za pikipiki, motor, generator za umeme, matairi ya pikipiki, alibaba imenikutanisha na watu wengi sana, wewe unataka kununua laptop mbili unataka utumiwe sample, wewe si mwizi tu!!!! sikatai kuna matapeli, hakuna market place inayokosa matapeli, kuidiscredit alibaba kwa sababu ya experience yako mbovu na watu fulani ni utovu wa nidhamu tu, ni sawa na mimi nisema "wamarekani hawafai kitu wale, nimenunua cover ya kindle tu mwezi mzima sasa sijaipata"!!! alibaba Watanzania wanauza na kununua kule, watu wanauza asali, vitunguu, ufuta, karanga, msiwakatishe tamaa watu wasiojua mnawatia uwoga usio na msingi. Alibaba ipo na inazidi kukua siku hadi siku, ingekuwa imejaa matapeli kwa jinsi unavoiweka ingekuwa inakufa, badala yake inakua!
SCARED MONEY DON'T MAKE MONEY!