Kwanini Watanzania hamjiungi na ALIBABA small business website

Wapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana
Naomba ufafanuzi zaid nijiunge..nimekuja pm nikakutana na maelezo marefuu nikashindwa kukutumia ujumbe
 
Tafadhari naomba usaidizi wako
namna ya kuagiza bidhaa kupitia Alibaba,
Nimewasiliana na seller mmoja kanipa maelekezo lkn sjamwelewa vzr,
Namna hasa ya malipo ya bidhaa hadi inifikie inakuwaje hapo? Naomba
 
Back
Top Bottom