Kwanini wasomi wanakua cheap kiasi hiki?

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Jana wakati Mh. Tundu Lissu anawasilisha maoni ya wachache Bungeni, alichambua vizuri sana maoni ya wasomi maarufu nchini, wakiwemo Mh. Mwakyembe, Prof. Issa Shivji, na wengine ambao hakuwataja. Kinachonishangaza ni pale mtu msomi ameandika kitabu (Prof. Shivji) na Mwakyembe (PhD. Dissertation yake) lakini leo anatetea kingine. Ndo maana leo naamini msemo wa Marehem Prof. Chachage aliposema ma professor wa kweli ni wachache sana, kwa vile wengine wamekuwa so easy and loose! Aibu sana! Nini kinawafanya wawe hivyo? Je wakirudi tena darasani wanafunzi watashila lipi?
 
Wandugu njaa mbaya jamani nyie isikieni tu au mwulizeni kilichompata Prof Mwandosya, prof ana tibaijuka, prof shivji, dr mwakyembe, prof muhongo. Ukizingatia taratibu za uandishi, nimemuheshimu sana Mwandosya kwa sababu wakati mwingine hua anapata ujasiri ila anapigwa kabali.
 
Back
Top Bottom