maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,842
Utajaza Mkun.du we
Duh....hope umekosea kuandika tu
Utajaza Mkun.du we
Na tunaambiwa kuwa hizo vurugu ziko Kigali tu, sasa kwa nini wasikimbilie mikoa mingine ya mbali badala ya kukimbilia Tz? nafikiri wanaitumia hii kama chance ya kuvuka boda
Nimefuatilia mgogoro wa Burundi jinsi ulivyo nimegundua kuna tatizo kubwa kwa hawa wenzetu warundi tofauti na hili la Nkuruziza kutaka kujiongezea muda wa kuwa madarakani.
Burundi kwa sasa hakuna civil war ni maandamano ya kawaida ya kutaka kumng'oa Nkurunziza madarakani tena tunaambiwa maandamano hayo yanafanyika mji mkuu Bujumbura sehemu zingine hali ni shwari sana.
Inakuaje wengine wafungashe kukimbilia Tanzania maandamano tu yanakufanya ukimbie nchi yako kwenda kuwa mkimbizi tena mwanaume nae anaacha kwenda kuandamana kuwaunga mkono anakimbilia kuwa mkimbizi.
Hivi huko kwenye kambi za wakimbizi kuna nini cha ziada kinachowafanya hawa watu waende kuishi huko na kuacha nchi yao, kwangu mimi binafsi mgogoro huu ni mdogo mno kutoa wakimbizi.
View attachment 253787
Bhanunu huyu jamaa Molembe hajatumia akili yake kwa ufasaha, kama angejua hao Warundi vita imeshawaathiri kwa kiwango gani, na hao anaowaona ni wanaume leo, miaka ya 1993 wakati wa mauaji ya hatari ndo kwanza walikuwa watoto, wakapotezana na familia zao, wakapoteza rasilimali zao pamoja na wazazi wao kuuawa mbele ya macho yao, asingesema.
Halafu ajue anapojimwaga JF,Twitter, FB, Airtel, sijui radio gani, kule Burundi hayo yote yamefungiwa. Hao wanaokimbia hawana full information kama alizonazo, wao wanasikia watu wanauana Bujumbura tu, sasa kwa nini wasikimbie?
Kikwete kasema ukipewa akili changanya na zako. Molembe Jiongezee akili kidogo inaonekana umeshiba, mind you sijakutukana ila nimekushauri tu, hakuna anayependa kuwa mkimbizi asilani.
Hiyo nchi ifutwe tu iwe sehemu ya tz maana kuna haja gani kuwepo wakati nusu ya raia wake tunakaa nao hapa, wanazalia hapa na kukulia hapa mpaka mtoto anafikisha umri wa mtu mzima hapa hapa tz???
Utajaza Mkun.du we