The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Lazima waanzishe varangati za ukweli hata ikiwalazimu kufungwa jela wafungwe tu, ili dunia na jumuiya ya kimataifa iwasaidie kupiga kelele.Upo sawa mkuu haya pendekeza nini kifanyike maana na wewe umishia kuandika andika tu! Hebu taja wachukuwe hatua zipi na zipi?? na utolee mifano yake!
Na ndio maana nikasema ukijaribu kukopy mazingira ya upatikanaji wa uhuru ukapest kwenye kuishinda ccm hautoboi!Ni kwasabb hata Uhuru wa nchi hii ulipatikana ktk mazingira laini bila hata kuyalainisha
Uhuru ulipatikana kwa ndumbaNa ndio maana nikasema ukijaribu kukopy mazingira ya upatikanaji wa uhuru ukapest kwenye kuishinda ccm hautoboi!
Taja hizo hatua seriousMapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Kwa hiyo unataka mimi mianze kuwafundisha wanasiasa cha kufanya!? Mbona walipokuwa imara walikuja na harakati mbalimbali na tuliwaelewa kirahisi tu!! Wapambane waje na mbinu zitakazowatambulisha kama watetezi wa wananchi!!Taja hizo hatua serious
Tutajie hizo mbinuKwa hiyo unataka mimi mianze kuwafundisha wanasiasa cha kufanya!? Mbona walipokuwa imara walikuja na harakati mbalimbali na tuliwaelewa kirahisi tu!! Wapambane waje na mbinu zitakazowatambulisha kama watetezi wa wananchi!!
Mimi napenda mabadiliko ni kweli ila mimi si kiongozi wa chama chochote cha siasa ila Hawa wapinzani wakija na hoja rahisi inayoeleweka kwa umma ni rahisi kuwaunga mkono!!The Phylosopher
Viongozi wa upinzani wameonesha mfano na wengine walifungwa jela, wamebambikizwa kesi, wametekwa, wameumizwa, wako uhamishoni nje, n.k unaita ni mazingira laini
Wewe ambaye siyo kiongozi lakini unapenda mabadiliko umefanya nini?
Mkuu katika andiko lako tayari umeshaonyesha unawafundisha wanasiasa nini cha kufanya ndomana watu wanakubana ukamilishe mada kwa kueleza hatua/mbinu unazoamini wewe kuwa zitawavusha wapinzani!Kwa hiyo unataka mimi mianze kuwafundisha wanasiasa cha kufanya!? Mbona walipokuwa imara walikuja na harakati mbalimbali na tuliwaelewa kirahisi tu!! Wapambane waje na mbinu zitakazowatambulisha kama watetezi wa wananchi!!
Upinzani wamefanya kila waliloweza, shida ya nchi hii ni wananchi wenyewe...hata wateswe vipi wao wanabaki waoga hawana cha kufanya, ccm inanufaika na ugoigoi wa wananchi.Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko ilivyokua wakati wa kumtoa mkoloni.
Cha ajabu ni kwamba wapinzani waliopo sasa hivi wanataka eti chama tawala kiwahurumie kiwarahisishie kufanya siasa, tuwe wakweli msipokuja na hatua serious kuliko hizi za kushinda mnalialia hakika wajukuu zetu na wajukuu wao watatawaliwa na CCM.
Hata upinzani wanafaidika na huo ugoigoi si ccm tu.Upinzani wamefanya kila waliloweza, shida ya nchi hii ni wananchi wenyewe...hata wateswe vipi wao wanabaki waoga hawana cha kufanya, ccm inanufaika na ugoigoi wa wananchi.
Hatukuwa na sababu ya kudai uhuru kwa nguvu. Kisheria Uingereza hakuwa mkoloni wetu.Ni kwasabb hata Uhuru wa nchi hii ulipatikana ktk mazingira laini bila hata kuyalainisha
Mimi napenda mabadiliko ni kweli ila mimi si kiongozi wa chama chochote cha siasa ila Hawa wapinzani wakija na hoja rahisi inayoeleweka kwa umma ni rahisi kuwaunga mkono!!
Yaani ukija na madai ya katiba mpya kwa siasa ya tanzania hautoboi ukweli ni kwamba wapinzani walitambulishwa na msimamo wao wa kupinga ufisadi na maonezi dhidi ya wananchi kama ukikumbuka vizuri hata zito alipata kufukuzwa bungeni kwa kwa kusimamia hoja za aina hii na ilikuwa rahisi sana kueleweka lkn kwa hoja za hapo juzi Kati mwenyekiti analazimisha wabunge watoke nje kwa kisa cha corona!? Ambayo hakuna mtu alikuwa ana ufumbuzi wake!!Tayari unatoa visingizio, hujawaona viongozi wa upinzani wakipitia mapambano makubwa na kupata madhila lukuki huko Mwanza, Mbeya, Hai, Zanzibar, Kilwa n.k
Wewe mwananchi mpenda mabadiliko umefanya nini kuunga mkono viongozi hawa waliojitolea mhanga kwa jasho, damu na Mali zao kuongoza mapambano ?
Mfano mdogo wapi wananchi mmepaza sauti kudai katiba mpya kwa maandamano yasiyo na kikomo yatakayo wahakikishia huduma za maji safi bila mgao, nishati ya umeme usiokatika kwa matumizi ya shughuli za kiuchumi na kijamii pia huduma bora za afya ?
Haaa! uchaguzi wa wabeba mabegi yaliyojaa ndiyo kwanza nimeushuduia 2021Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko ilivyokua wakati wa kumtoa mkoloni.
Cha ajabu ni kwamba wapinzani waliopo sasa hivi wanataka eti chama tawala kiwahurumie kiwarahisishie kufanya siasa, tuwe wakweli msipokuja na hatua serious kuliko hizi za kushinda mnalialia hakika wajukuu zetu na wajukuu wao watatawaliwa na CCM.