ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,726
- 127,675
Teh teh, acha wivu mpwa. Nimependwa ghafla, sema huyu alonipenda ni hatari, kaa la moto.Mpwa unataka kuniharibia mtoto....?? Unaona mpaka anataka kuja huko chumbani....
Teh teh, acha wivu mpwa. Nimependwa ghafla, sema huyu alonipenda ni hatari, kaa la moto.Mpwa unataka kuniharibia mtoto....?? Unaona mpaka anataka kuja huko chumbani....
Teh teh, acha wivu mpwa. Nimependwa ghafla, sema huyu alonipenda ni hatari, kaa la moto.
Ugeni kwenda sio kurudi,mapenzi ya kweli ni kwa yule wakwanza tu na akishakutenda hutosamini demu yeyote yuleSasahivi wanaume wamekuwa waongo kuliko kitu chochote hasa kwa sisi wanaume kwanini unamwambia mwanamke kwamba nitakupa kila kitu unachotaka nikubalie tu ili uone yule msichama akishakubali basi ukishavua nguo basi unamwambia kwaheri.
Na nyie wanawake kueni wakweli na yule ulio mkabitdi moyo wako kwanini unamwambia uko mwenyewe wakati yupo Ibrahim, Aman, Iddy, Martin, Juma, N.K ndo maana mpaka saivi sijaona mwanamke wa kuukabitdi moyo wangu sipo tayari kuumizwa na kuumiza mtu.
TAKE CARE IN LOVE
Huyu babu nataka kuongea nae kuhusu mafao ya kustaafu tehMpwa nitakuchapa...unataka uende wapi na huyo babu....???
Mi ni almasi mchangani, hujanijua tu jamani.... Hadi nimwage hapa voko ndo unieleweTeh teh, acha wivu mpwa. Nimependwa ghafla, sema huyu alonipenda ni hatari, kaa la moto.
Huyu babu nataka kuongea nae kuhusu mafao ya kustaafu teh
Mi ni almasi mchangani, hujanijua tu jamani.... Hadi nimwage hapa voko ndo unielewe
Sasahivi wanaume wamekuwa waongo kuliko kitu chochote hasa kwa sisi wanaume kwanini unamwambia mwanamke kwamba nitakupa kila kitu unachotaka nikubalie tu ili uone yule msichama akishakubali basi ukishavua nguo basi unamwambia kwaheri.
Na nyie wanawake kueni wakweli na yule ulio mkabitdi moyo wako kwanini unamwambia uko mwenyewe wakati yupo Ibrahim, Aman, Iddy, Martin, Juma, N.K ndo maana mpaka saivi sijaona mwanamke wa kuukabitdi moyo wangu sipo tayari kuumizwa na kuumiza mtu.
TAKE CARE IN LOVE
Hamna sio maana yangu, mie nataka nipate dhahabu kutoka kwake, si unajua tena za kale ni dhahabu...Mpwa kweli umedhamiria kukikausha kiinua mgongo cha huyu mzee mwenzangu.....
Hamna sio maana yangu, mie nataka nipate dhahabu kutoka kwake, si unajua tena za kale ni dhahabu...
Naona umemjaza hofu mzee katoka nduki ha ha ha haya bana ahsante kwa kunipeperushiaMachale yananicheza mpwa....
Naona umemjaza hofu mzee katoka nduki ha ha ha haya bana ahsante kwa kunipeperushia
Teh teh, wewe nakuogopa. Haya maneno yako tu humu mimi hoi[emoji1]. Mafao yangu bado miaka miwili nistaafu, subiri nile na aunt yako. Mpwa wangu KikulachoChako anaweza kukutendea haki.Naona umemjaza hofu mzee katoka nduki ha ha ha haya bana ahsante kwa kunipeperushia