Kwanini wapenzi wanaumizwa kila mara?

Kwanini wapenzi wanaumizwa kila mara?

hadanganywi mtu siku iz,nikikupa jua nami nilitaka kukunwa
 
Hamjipendi ninyi wenyewe, mnashangaa msipopendwa na wengine. Vile unakutana na mtu first time utavutiwa na appearance yake. Baada ya kitambo kifupi utagundua hana msimamo hata kwa maisha yake mwenyewe. Utaona anakuchosha tu....you decide to break up, unaenda unakutana na mwingine wa hivyo. Watu wajifunze kujipenda wao kwanza, tena upendo wa dhati sana, waone wanaweza kushare love kwasababu wanao upendo tayari. Watu hawajui tu, ndio maana lawama haziishi. It takes revolution to make a solution.
 
Stop looking for the right person be the right person,jipende kwanza na jikubali na and reminder start a relationship when you are ready not when you are lonely.
Hayo ni baadhi tu yanaweza kusaidia ...kwani kwenye mapenzi hamna formula maalumu kwani ingekuwepo watu wangekesha kuitafuta na kuikariri ili wasiumizwe.....
 
...teh teh, utakuwa umeshajitafutia figa la pili wewe...sikusomi sana siku hizi...teh teh.
Ndo natafuta, ngoja nije pm tuongee huu mpango wa mafiga mawili..... Nategemea ushirikiano wako, nami naahidi sitakuangusha teh
 
Ndo natafuta, ngoja nije pm tuongee huu mpango wa mafiga mawili..... Nategemea ushirikiano wako, nami naahidi sitakuangusha teh
Ahsante, sitaki maradhi ya presha. Huyo mmoja tu nanga zinapaa, teh.
 
Back
Top Bottom