Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,616
Ni hatari mkuu.Halafu unamkuta mtu mzima anajisifu anavyotifua mitaro.
Vitu tunavyoviona vinatupa raha zaidi ya vile vilivyo weka kwa ajili ya raha hiyo basi vitu hivyo vina madhara makubwa sana.
Mfano tendo la ndoa lina raha lakini watu wanatumia tigo kutaka raha zaidi huku wanasahau kwamba raha nyingi mateso mengi mbeleni.
Mtu ataona raha kula kuku wa kizungu kwa sababu anatafuna mpaka mfupa,nyama,lakini madhara yake ni makubwa hapo mbeleni.
Solution kurudia kuku wa kienyeji.
Tubakie kwenye asili katika vitu vinavyowezekana