Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hapa hakuna cha nini wala nini, jambo la muhimu kuliko yote ni KUTII maagizo ya MUNGU basi. Tutaongea mengi na kusema mengi lakini kama hatutatekeleza maagizo ya MUNGU yote tufanyayo ni kazi bure kabisa.
MUNGU alikwisha kataza kitendo cha kufanya ngono kinyume na maumbile, mwenye kusikia na asikie asiyetaka kusikia shauri yake!
 
Unajua kwanini waliopitia huu mchezo wanausifia hivi ni kwasababu insemekana ile sehemu ni ngumu haipanuki kirahisi hasa wale wa kuchuma mboga.
 
hizo habari za mknd kutanuka kwajili ya anal sex ni habari za kusadikika na wala hazifahamiki sana kwe medical community hata wale senior gastroenterologists hawajawahi kukutana na hizo case then wakaestablish cause kuwa ni anal sex, ila moja ya madhara ambayo mtu anayeingiliwa nyuma anaweza kuyapata ni kansa ya anus(anal cancer) ambayo ni mbaya sana nayo si kwamba inahusiana moja kwa moja na tendo lenyew bali ni kuwa kuna risk kubwa ya kuambukizwa virusi vya HPV ambavyo husababisha cancer hiyo, so ni vema hizo habari za kutanuka ukaweka pemben maana inaweza isitokee kabisa hata ukifny kwa miaka kumi lakini risk ya kupata maambukizi ya HPV itayokupelekea kupata cancer ya huko ndo yakuiogopa zaidi
Kweli umelaaniwa nyambafu umelaaniwa unajidai kuongea hivyo ila kiukweli umelaaniwa .
ungekuwa zamani jua tungekuchoma moto ila kwa sasa hadi kiama .
so unawashauri watu wa fanye hicho kitu kinamadhara sana dah kina madhara kama mtoa mada alivyosema.
 
duh! mkuu umesoma kweli nlichoandika au una matatizo gan
 
Kweli umelaaniwa nyambafu umelaaniwa unajidai kuongea hivyo ila kiukweli umelaaniwa .
ungekuwa zamani jua tungekuchoma moto ila kwa sasa hadi kiama .
so unawashauri watu wa fanye hicho kitu kinamadhara sana dah kina madhara kama mtoa mada alivyosema.
Lazima ni mwanaccm huyu, kasoma juu anakuja kutapika hapa
 
Back
Top Bottom