Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Ipo siku mtashtuka na mtaanza kupendana ila wakati huo mtakuwa mshachelewa.
Lakini, yawezekana kutopendana kwenu ndiyo afadhali yetu. Maana naamini mngekuwa na umoja wanaume tungesumbuka saana.
 
sababu tuko wengi sana,

na resources(men) are few,

so we have to COMPETE.....
😀😀
 
Sababu wanawake tuna unafki. Mtu hata awe na kitu na wewe hakwambia anasubiri siku umfanyie kitu kidogo tu atayabwaga yote hapo ndo unajua ulikua unachukiwa.
 
Kuna wanawake hapa jf watauruka huu uzi, [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Yaleyale. Hapa wewe unajiona ni bora kuliko wenzio....ifahamike kuwa kila binadamu ana tabia yake kama mtu ana maringo, kiburi majigambo hiyo ni tabia yake atakuwa hivyo hata kwa wanaume.
Kabisa.
 
Ukitaka ujue roho za hawa watu mlete mama mkwe akae hata mwezi ....bila mwanaume kua na hekima kesi hazitaisha yaan ni full kulalamikiwa.Sasa akija baba mkwe ni full raha .Jamani wanawake jichunguzeni mmalize tofauti zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…